Shushumara
Member
- Sep 9, 2020
- 29
- 10
Mazuri Sana. Kariakoo kwenye maduka ya vipodozi.Yanapatikana wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazuri Sana. Kariakoo kwenye maduka ya vipodozi.Yanapatikana wapi
Vipi Kassim Majaliwa, zile nywele zake, yeye anakunywa dawa gani?Wenzio wakina Mbowe Sheini wanapaka piko Lemutuz kaamua kunyoa kipara ila ana mvi kama Lowasa vile
Pale MGONJWA anapokataa dawa...!!Pico hapana.
Usumbufu sana kutumia
Weka pichaMafuta ya vaida
Kikopo kinarangi ya kijani maandishi meusi
Hio ina maana melanocytes zimeacha kuzalisha melanin(rangi nyeusi) kwenye hair follicles ndio maana weusi kwenye nywele haupo.
Tumia majani ya mpera,
Unachuma majani kama kumi hivi unaosha halafu unasaga kwenye blenda au unatwanga,
Baada ya hapo weka maji kijiko kimoja cha chai halafu chuja upate maji ya mpera
Pakaa kichwani na acha kwa saa 1,halafu osha.
Fanya mara 3 kwa wiki kwa mwezi mmoja utaona matokeo.
Uchawi kivipi?Huo ni uchawi??[emoji848]
Uchawi kivipi?
Nilipata changamoto ya mvi nikiwa na miaka 26 mwisho niliamua kuzikubali saivi nazifurahia kabisaWandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Kwan umri sahh wa kuota mvi n miaka mingapi?Habari za muda huu wana jamvi,
Msaada jamani namna ya kutoa mvi kichwani. Nina tatzo baadhi ya sehem kichwani mwangu mvi huwa zinajitokeza na bado sijafikia umri wa kuota mvi.
So do i!Nna mvi 3 km sio 4 nazipenda balaa
Cant wait for that silver in the future..the transition..
Saloon alinyofoa kimoja nilimind sana