Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

Wakuu,

Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari.

Asanteni
Chukua kitunguu maji..kata vipande vidogo sana..Chukua Tangawizi kata vipande vidogo sana..
Hivyo vipande vya Vitunguu na Tangawizi vichanganye kwenye sufuria..tia maji,pia tia mafuta Zaituni.
Chemsha kwa dakika 15..
Baada ya hapo chuja na mchanganyiko utakaoupata anza kutumia kwa kupaka kichwani kwa wiki mara tatu.
Halafu Rudi utoe ushuhuda.
 
Mkuu hapo chapa miwani badili na mwendo

Acha kukatua miwa au kutafuna vitu ukiwa road

Hapo utaendana nao.
 
Back
Top Bottom