Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

Enter Passcode unaweza share namimi pm kidogo nijue pakuanzia coz hii changamoto namimi inanikumba
Chukua kitunguu maji..kata vipande vidogo sana..Chukua Tangawizi kata vipande vidogo sana..
Hivyo vipande vya Vitunguu na Tangawizi vichanganye kwenye sufuria..tia maji,pia tia mafuta Zaituni.
Chemsha kwa dakika 15..
Baada ya hapo chuja na mchanganyiko utakaoupata anza kutumia kwa kupaka kichwani kwa wiki mara tatu.
Halafu Rudi utoe ushuhuda.

BRN
 
Kaka mie nasubili feedback kutoka kwako kutokana na mwezi huu sipo sehem rafiki sana kupata hizo huduma
 
Tumia MINOXIDIL NA DERMA ROLLER Bei nadhan ni 45000 Au 60000, 100000 hivi kwa package yoote

APPLY MAFUTA HAYO Kisha scrub taratiibu na hiyo roller mind you hiyo roller ina choma choma hivyo kuwa makini

Kila lakheri mkuu
 
Mbona unapotosha Mkuu au video hukuielewa?

Back
Top Bottom