Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

Nataka this week nitengeneze mafuta yangu ya nywele mwenyew alafu nitatumia kama mwezi hiv nikifanikiwa nachotaka nitakupa mrejesho mkuu
 
Wakuu,

Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari.

Asanteni
Mafuta ya naz mnara

Au oliver oil ni nzur pia

Au ya naz ya halis mabichi yapp kariakoo kama uko mkoa tuma mpunga nikutumie 0712505049 lakin kkkubwa badilisha sabuni kemikal zake zinachangia sanaa vipara tumia give au ayuu ni nzur kipara kinatulizwa
 
Back
Top Bottom