Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,041 Reaction score 46,239 Aug 27, 2024 #61 Nataka this week nitengeneze mafuta yangu ya nywele mwenyew alafu nitatumia kama mwezi hiv nikifanikiwa nachotaka nitakupa mrejesho mkuu
Nataka this week nitengeneze mafuta yangu ya nywele mwenyew alafu nitatumia kama mwezi hiv nikifanikiwa nachotaka nitakupa mrejesho mkuu
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,262 Reaction score 2,184 Aug 28, 2024 #62 Enter Passcode said: Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni Click to expand... Mafuta ya naz mnara Au oliver oil ni nzur pia Au ya naz ya halis mabichi yapp kariakoo kama uko mkoa tuma mpunga nikutumie 0712505049 lakin kkkubwa badilisha sabuni kemikal zake zinachangia sanaa vipara tumia give au ayuu ni nzur kipara kinatulizwa
Enter Passcode said: Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni Click to expand... Mafuta ya naz mnara Au oliver oil ni nzur pia Au ya naz ya halis mabichi yapp kariakoo kama uko mkoa tuma mpunga nikutumie 0712505049 lakin kkkubwa badilisha sabuni kemikal zake zinachangia sanaa vipara tumia give au ayuu ni nzur kipara kinatulizwa
B BabaMia JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 270 Reaction score 554 Oct 2, 2024 #63 We vp? Mwenzio naitwa Jason Statham.