Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Septrin hii dawa au?Septrin changanya na lotion...
Ndio saga changanyaSeptrin hii dawa au?
Thanks sana, nna moja ipo kwenye kidole gumba mguuni inanikera na mbaya zaidi imekuwa so sensitive to touch...Ndio saga changanya
Inatokea mbona wala si jambo la kushangazaIla we km ni mwanamke na una sugu miguuni co siri cjapenda.
Kwa wavaa high heels na viatu vya kutumbukiza sn,alafu unatembea mwendo mrefu hilo halikwepekiIla we km ni mwanamke na una sugu miguuni co siri cjapenda.
[emoji23][emoji23][emoji23]inatokeaga mkuu....hasa wanaovaa viatu virefu vya kufunikaIla we km ni mwanamke na una sugu miguuni co siri cjapenda.
Weka pichaHabari wanaJF, kwa sababu ya kuvaa viatu virefu vya kutumbukiza muda mrefu vidole vyangu vimepata sugu. kuvaa viatu vya wazi mbele sipendi sababu ninavaa no 40 so vidole huwa vinatokeza sana, kama kuna mtu anajua dawa anisaidie, Shukrani.
Pole kama ujapenda ingawa haina umuhimu wowote kwangu, navaa sana viatu virefu na vya kutumbukiza , kuvaa viatu vifupi kazini siwezi aisee !!so vidole vidogo viwili vya mwisho vimetokea sugu.Ila we km ni mwanamke na una sugu miguuni co siri cjapenda.
Umeona eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]inatokeaga mkuu....hasa wanaovaa viatu virefu vya kufunika
Itakua mtu wake amezoea slipers ndio maanaUmeona eeeh
Hahahhahaha....Itakua mtu wake amezoea slipers ndio maana
jitahidi uwe unavaa raba za flat tu,mateso yote ya nini hadi mnapata sugu jamani?Pole kama ujapenda ingawa haina umuhimu wowote kwangu, navaa sana viatu virefu na vya kutumbukiza , kuvaa viatu vifupi kazini siwezi aisee !!so vidole vidogo viwili vya mwisho vimetokea sugu.
Hahaha.... Vina raha yake bhana.... Pia vinaongeza umaridadi... (kwa Mtazamo wangu, labda mtoa Mada ana wake pia )jitahidi uwe unavaa raba za flat tu,mateso yote ya nini hadi mnapata sugu jamani?