Dawa ya kutoa sugu za vidole

Dawa ya kutoa sugu za vidole

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
Habari wanaJF,

Kwa sababu ya kuvaa viatu virefu vya kutumbukiza muda mrefu vidole vyangu vimepata sugu. Kuvaa viatu vya wazi mbele sipendi sababu ninavaa no 40 so vidole huwa vinatokeza sana, kama kuna mtu anajua dawa anisaidie.

Shukrani.
 
Niko na hilo tatizo tena pakiwa na baridi inauma kinyama
 
Ila we km ni mwanamke na una sugu miguuni co siri cjapenda.
 
Habari wanaJF, kwa sababu ya kuvaa viatu virefu vya kutumbukiza muda mrefu vidole vyangu vimepata sugu. kuvaa viatu vya wazi mbele sipendi sababu ninavaa no 40 so vidole huwa vinatokeza sana, kama kuna mtu anajua dawa anisaidie, Shukrani.
Weka picha
 
Ila we km ni mwanamke na una sugu miguuni co siri cjapenda.
Pole kama ujapenda ingawa haina umuhimu wowote kwangu, navaa sana viatu virefu na vya kutumbukiza , kuvaa viatu vifupi kazini siwezi aisee !!so vidole vidogo viwili vya mwisho vimetokea sugu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]inatokeaga mkuu....hasa wanaovaa viatu virefu vya kufunika
1483265669222.jpg

Cc... MankaM
 
Pole kama ujapenda ingawa haina umuhimu wowote kwangu, navaa sana viatu virefu na vya kutumbukiza , kuvaa viatu vifupi kazini siwezi aisee !!so vidole vidogo viwili vya mwisho vimetokea sugu.
jitahidi uwe unavaa raba za flat tu,mateso yote ya nini hadi mnapata sugu jamani?
 
jitahidi uwe unavaa raba za flat tu,mateso yote ya nini hadi mnapata sugu jamani?
Hahaha.... Vina raha yake bhana.... Pia vinaongeza umaridadi... (kwa Mtazamo wangu, labda mtoa Mada ana wake pia )
 
Back
Top Bottom