Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana usiku ndo maamuvi yaanapewa greenlight hulalali mwili ulichoka na nguvu zote ziliniishia
Week hii mwanzoni nimeumwa malaria nikasema acha ntumie mseto aisee mpaka sahivi najuta kwanini nilikubali mseto ni masaa 24 tokea nimalize mpaka sahivi
Ni bora ningekunywa quinine sio kwa mateso haya
Kwenye medicine kuna kitu kinaitwa pharmacovigiliance dawa ikishakuwa approval inafuatiliwa kama kuna severe side effects ambazo hazikuwa notice kipindi cha clinical trials ndo maana leo hii chloroquine au amodaquine hazitumiki tena

- Mwili umechoka
- Sina hamu ya kula yaani kula ni kwa mbinde
- Mdomo mchungu kupita maelezo
- Nikihema natoa harufu ya dawa za mseto