Dawa ya mseto ya kutibu malaria ipigwe marufuku kama ilivyokuwa kwa chloroquine

Artemether and lumefantrine may cause side effects.
  • headache.
  • dizziness.
  • weakness.
  • muscle or joint pain.
  • tiredness.
  • difficulty falling asleep or staying asleep.
  • vomiting.
  • loss of appetite.
Artemether,niliwahi kuitumia ni nzuri sana,ila namshukuru Mungu mwaka wa 7 sasa sijaugua malaria...
 
Wabongo bana, kila kitu wana ujuzi nacho! Sijui na qualification gani huyu ntu hadi anaagiza dawa iachwe kwa matumizi ya umma kwa kuwa kajisikia tu yeye😛😛
Si ndio maana wakajiita wabongo au mbongo sababu ya elimu ya ujuaji mwingi.
 
Unaijua malaria au unaisikia kuna mtu wangu wa karibu alienda kupima malaria akakutwa alijikuta ana-tundukiwa trip tisa za quinine we huijui malaria vizuri
Malaria naijua sana, hata hiyo quinine unayosema ilisha ondolewa kwenye utaratibu wa kutibu malaria kali, badala yake kuna artesunate for injection. Mseto wa Alu ni dawa nzuri sana kwa malaria isiyo kali
 
Mi mseto namezeaga na maziwa,zinafanya kazi kwa ufanisi sana,na hazichoshi
 
Umeandika ujinga kabisa mimi nikiumwa Malaria Mseto ndo kimbilio langu.
 
Chrol
Chroloquine haijapigwa marufuku bali vimelea vya malaria viliizoea ile dawa, ipo inatibu magonjwa mengine
 
Chloroquine na amadiaquine hazitumiki tena sababu zilikua severe side effects
Kuna-kitu kinaitwa Pharmacovigilance dawa inafuatiliwa ili kugundua side effects ambazo Hazikuwa noticed during clinical trials
Ni sawa lakini huwa hawaisimamishi dawa kutumika kwa kumsikiliza mtu mmoja.
Ni lazima wafanye sampling labda katika watu 100 angalau watu 75 waje na complain ya aina moja
 
Mkuu nakumbuka mnamo mwaka 2003, niliumwa Malaria Amodiaquine, aisee ile dawa ilinipeleka mpaka nikawekewa dripu, niliacha mpaka wosia.
 
Mimi ninaweek ya tatu toka nmetumia mseto sijawai kula vzuri
 
Hiyo dawa za mseto mie nilitumia tumbo likavimba kama kitenesei nikawa nashindwa mpaka kupumua ikabidi niende hospitali nikachomwa sindano ya kupunguza tumbo kujaa ,mpaka leo nikiumwa malari natumia artequick
 
Pumbavu kujisikia kwako vibaya ndio dawa nzuri Kwa malaria kama mseto ipigwe marufuku kisa mjinga mmoja kujisikia vibaya
Ndugu matusi yanini?tujifunze kuwa na ustaarabu wandugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…