Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume + performance kula nusu tikiti maji kama 30 min before kipyenga
Wife alisha jua siku akija na tikiti huwa ananionyesha kwa kidole kimya kimya halafu mimi namkonyeza! Watoto wasishtukie

Hahahahaha nimcheka sana
 
Mkuu mita tatu mbona kama parefu sana!!!!?
Mkojo utaweza kuruka mita tatu kweli???, kesho asubuhi nitajaribu.

Hata mimi nina wasiwasi mkubwa na kipimo hiki. Naamini karibu 99% ya watu wanakuwa na mapungufu.
Mita 3 ni ndefu sana mzee, ni sawa na kulazimisha mkojo ukimbie mbio fupi.
 
kuna mzee mmoja aliniambia eti enzi zao kijana akikojoa mkojo lazima umzidi kimo kuonyesha ulijari wake..vijana wa siku hizi mkojo hauzidi hata kiunoni..
hizi siori nyingine ni saundi tu..
 
Jamani kwa ufaham wangu mdogo tu. mita 1.8288 = foot 6 = urefu wa kawaida wa kitanda.

Hivyo basi wadau, kwa mita 3 wala usipate shida kupata kipimo. Chukua kamba, pima urefu wa kitanda chako alafu ongezea nusu yake. Kisha kunjua hiyo kama then rusha huo mkojo wako uvuke.

Kama hauna mota ya maji kiunoni basi kaa kimya.
 
Hivi unajua mita tatu ni sawa na futi ngap ni futi 10 na kidogo urefu wa chumba nani anaweza kuvusha
 
Hiyo simple mkuu, piga punyeto kila siku mkuu!

Mkuu nitaziondoa kabisa. Unajua kuna kadawa nilitumia wakati bado kijana kwahiyo nahisi kama vile nilijiovadozi. Mpaka leo nikiingia kwenye mechi bibie anadai nimemeza supashafti.
 
nyingine hii magadi +unga wa soda +amira
tupia kisha lete mlejesho

Aaah hii sijaribu hata kidogo! amira na bicabonate soda +magadi? utaumua uume zaidi ya kick boxing guard!!! sasa mbaya zaid sizan kama shemeji yako atahimili kusokomezwa na dude hilo!!!
only wenye vichwa nazi watakubari ushauri huu... teh teh teh!
 
Watu wazito kuelewa..!? Hii div. Five bila Shaka. Umeshaambiwa kula kwa afya yako.

Mtaalam mwenyewe bado anakibao cha Learner(L).

Vitunguu maji +Siagi +Asali = ____

Unavifanyaje sasa?
1-Kujichua navyo.
2-Kutafuna.
3-Kutwanga Kisha kumix kwenye
maji ya kuoga.
4-Kujifukiza.

Hebu nyoosha maelezo ueleweke mkuu!
 
nafahamu ya asali + kitunguu swaumu+ tangawizi= loko viagra, jaribu uone
 
Hata mimi nina wasiwasi mkubwa na kipimo hiki. Naamini karibu 99% ya watu wanakuwa na mapungufu.
Mita 3 ni ndefu sana mzee, ni sawa na kulazimisha mkojo ukimbie mbio fupi.
Umeona mkuu, ila asubuhi najaribu halafu nitaleta mrejesho.
 
Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?
Sometimes tunazidisha machezo jamani.

Japokuwa mleta mada amechemka kwenye huo urefu wa mita 3, lakini sijaona sababu ya wewe kuanza kumponda kuwa alikimbia masomo ya sayansi.

Lakini pia ni shule gani hiyo ambayo ulitajiwa aina za projectile zote na distances zinazocover Pindi zikirushwa?

Tusitumie topics za pcm na pcb form 6 kukatisha tamaa wenzetu wanaoleta suluhu za matatizo yanayoisumbua jamii yetu.
 
Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…