Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.
Watu wazito kuelewa..!? Hii div. Five bila Shaka. Umeshaambiwa kula kwa afya yako.
Sometimes tunazidisha machezo jamani.
Japokuwa mleta mada amechemka kwenye huo urefu wa mita 3, lakini sijaona sababu ya wewe kuanza kumponda kuwa alikimbia masomo ya sayansi.
Lakini pia ni shule gani hiyo ambayo ulitajiwa aina za projectile zote na distances zinazocover Pindi zikirushwa?
Tusitumie topics za pcm na pcb form 6 kukatisha tamaa wenzetu wanaoleta suluhu za matatizo yanayoisumbua jamii yetu.
Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.
Hahahahaha nimcheka sana
Hata mimi nina wasiwasi mkubwa na kipimo hiki. Naamini karibu 99% ya watu wanakuwa na mapungufu.
Mita 3 ni ndefu sana mzee, ni sawa na kulazimisha mkojo ukimbie mbio fupi.
Mtu aliepiga punyeto sana nae atumie vitunguu kurudi kwenye hali ya nguvu ka mwanzo?
Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.
Hapa kila kitu ni lazima kiwe fresh sio manufactured kutoka kiwandani! tunazungumzia siagi itokanayo na samuli ya maziwa ya ng'ombe! kama kabisa huwezi kuitengeneza chukua tu glass moja ya maziwa ya ng'ombe wa kienyeji weka kijiko kimoja cha asali koroga kunywa alafu chukua kipande cha kitunguu tafuna meza maji yake! mara mbili kwa siku ndani ya wiki moja njoo toa shukurani hapa jukwaani!Tunashukuru kwa mleta uzi, utawakomboa wengi, lakini maelezo ya ziada yanahitajika, tafadhari tusaidie, usichoke. Siagi zipo aina nyingi, kuna siagi ya mkate, Blue Band, Tan Bond, nk na kuna siagi ya karanga, ambayo inatumika kwa mkate na kuunga mboga mboga, Je ipi inatumika ktk hili linalojadiriwa hapa..? Taf nielimishwe kwa faida ya wengi.
Je mazoezi gani? (kunyanyua vyuma, kukimbia, kunyoosha viungo, ...). Weka wai ni aina gani ya mazoezi.Dawa ni moja tu.... Mazoezi.
Je mazoezi gani? (kunyanyua vyuma, kukimbia, kunyoosha viungo, ...). Weka wai ni aina gani ya mazoezi.
Kuna dawa aina nyingi, ugonjwa ni mmoja.
umesomeka mkuu thanks