Mimi nadhani huyu bwana kaongea kama mfano wa kuelekeza dalili za matitizo ya nguvu za kiume.Point ya jamaa haikuwa ubishi wa kisayansi kama unavyotaka wewe.Hata hivyo tanzania bado hamna wana sayansi bali ni wanasayansi wakukariri,mmeshavumbua nini? bora jamaa kavumbua dawa ya vyakula.
Ok...sasa mkuu kama mimi zimenizidia..tafanyaje..........
aaghrr!!.. Nmekula chainizi tangu nikiwa na miaka 15 mpaka leo hii ndio chakula changu, bunduki yangu haijawahi kumissfire ktk uwanja wa medan za kivita. Tena mda huu najiandaa kula chainiz
Acha umbea shem....af kwa nini unaniita shem?
Aaaaaah..umeamua kumwaga mboga sio...
Mmh
Good morning wii
Morning....umesikiA mumeo hajui kwa nini tunaitana shem