Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Mimi nadhani huyu bwana kaongea kama mfano wa kuelekeza dalili za matitizo ya nguvu za kiume.Point ya jamaa haikuwa ubishi wa kisayansi kama unavyotaka wewe.Hata hivyo tanzania bado hamna wana sayansi bali ni wanasayansi wakukariri,mmeshavumbua nini? bora jamaa kavumbua dawa ya vyakula.

Big up mkuu
 
Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini nimesikia kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?
 
sina uhakika ila nami niliambiwa niache tabia ya kula chainizi maana husababisha ukosefu wa nguvu.
 
aaghrr!!.. Nmekula chainizi tangu nikiwa na miaka 15 mpaka leo hii ndio chakula changu, bunduki yangu haijawahi kumissfire ktk uwanja wa medan za kivita. Tena mda huu najiandaa kula chainiz
 
aaghrr!!.. Nmekula chainizi tangu nikiwa na miaka 15 mpaka leo hii ndio chakula changu, bunduki yangu haijawahi kumissfire ktk uwanja wa medan za kivita. Tena mda huu najiandaa kula chainiz

Ndio maana una pua pafomansi
 
Back
Top Bottom