Dawa ya Uhakika ya Kupunguza Uzito Bajeti Ipo, Sitaki Msaada wa Bure

Ushapungua
 
Kuna vimbegu hivyo ni balaa ukila kimoja 7naharisha siku nzima bei ya kimoja ni elf 5 tu ukitumia siku nne unapungua
 
Funga masaa 18. Diner kula saa 12 jioni, chai kanywe saa 5 au 6 kesho yake. Rudia mtindo huo siku 90, usipopungua, achana na zoezi la kupungua. kwa dawa za mimea tiba tuwasiliane kwa 0713 039 875. Pia zingatia elimu ya ulaji sahihi (Ketogenic-mfano kuondoa sukari na kupunguza wanga huku ukiongeza protein ) na mtindo wa maisha (kama kulala masaa 6, kufanya kazi ya kutoka jasho kwa siku, kupunguza stress)
 
Mangungu upo? Siku hizi nasikia unaitwa "Ngunguzu Ibrahimu Doumbia Kalpana".
Ndo nani? Au ndo mkeo? Au ndo mwenye dawa ya kupunguza uzito?
Hili jukwaa linamjua huyo mkeo? Au unatafuta umaarufu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…