Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais ntaanzisha mchakato wa kutengeneza dawa ya ukimwi
👇👇👇👇👇
How potential HIV drug will work
it engulf viral RNA genome which is essential for viral life and eliminate it.

HIV viral structure

images (28).jpeg

Desired therapeutics method;- engulf viral RNA genome and eliminated it

Method of developing HIV drug
  • Predict viral docking glycoprotein, matrix protein, transmembrane glycoprotein, and capsid mutation cycles
  • Integrate mutation cycles into one model
  • Find chemical from nature which can be able to pass docking glycoprotein, transmembrane glycoprotein and capsid protein compound model and engulf viral RNA
  • Pre Clinical trial
  • Clinical trial
  • Approval
Strength of the drug
  • Even the viral undergo mutation the drug efficacy will remain the same and not wane.

Kwa ambao hamjui njia za kutengeneza dawa nimeelezea kwenye huu uzi
 
Hv ni vichekesho, lkn dawa rahisi ya kutopata ukimwi ni kutokua na Kinga ya mwili sana CD4 kweny white blood cells!!! Swali je inawezekana kuzitoa na madhara yapoje?
 
Kubadili muundo wa CD 4 receptors ndo njia kubwa lkn madhara n mengi kuliko faida, kutokua kabsa na CD 4 receptors ndo jibu la moja Kwa Moja lakn hapo utakufa hata Kwa fangasi wa kweny pumbu, kufunga lango la pili la CD 4 receptors ndo njia YENYE mafanikio hadi sasa lkn napo inaathiri ufanyaji kazi wa Kinga za mwili.

Mwisho kabsa tuombe mungu miili yetu evolve yenyewe kutengeneza natural antibodies za kupambana na huu ugonjwa lakn kitaaluma hadi sasa tumeshindwa lakn jitihada zinaendelea na hakuna kukata tamaa
 
Nina uwezo mpana kukizidi kweny hiyo kada, lkn skupingi ww kua raisi maana hakuna anaejua vyote
Kama ungekuwa na uwezo mkubwa kwenye dawa basi ungejulikana fahamu hakuna kampuni yeyote ya afrika iliyozalisha dawa

South africa angalau wanafanya attempt sababu ya wale wazungu

Mimi nina mambo ambayo hata wazingu hawayajui mfano
Hakuna mtu ameshawahi kuwaza kupredict protein mutation

Hakuna mtu duniani ambaye anajua rules behind amino acids sequence which make protein ila mimi naijua hiyo rule

Hakuna mtu duniani anajua protein folding mechanism ila mimi ninajua protein folding mechanism
 
Mkuu hakuna kitu kipya kwasasa kwahyo usiseme hakuna anaejua, Dunia ya sasa ni innovation tu hakuna mambo ya uvumbuz
 
Kubadili muundo wa CD 4 receptors ndo njia kubwa lkn madhara n mengi kuliko faida, kutokua kabsa na CD 4 receptors ndo jibu la moja Kwa Moja lakn hapo utakufa hata Kwa fangasi wa kweny pumbu, kufunga lango la pili la CD 4 receptors ndo njia YENYE mafanikio hadi sasa lkn napo inaathiri ufanyaji kazi wa Kinga za mwili.

Mwisho kabsa tuombe mungu miili yetu evolve yenyewe kutengeneza natural antibodies za kupambana na huu ugonjwa lakn kitaaluma hadi sasa tumeshindwa lakn jitihada zinaendelea na hakuna kukata tamaa
Tatizo la viral hasa RNA viral ni kwamba protein ku-undergo mutation hiyo ndo kikwazo kikubwa sana na ukienda hata kwenye cancerous cells utakutana na hii changamoto protein wana-undergo mutation constant

Ukitengeneza dawa leo ikakamilika hujamaliza viral ame-undergo mutation kwa hiyo dawa yako inakua imepungua efficacy

Chanagmoto sio hayo uliyoyaandika bali ni kudeal na protein
 
Mkuu hakuna kitu kipya kwasasa kwahyo usiseme hakuna anaejua, Dunia ya sasa ni innovation tu hakuna mambo ya uvumbuz
Hakuna mtu yeyote duniani mpaka navyoandika sahivi anayeweza kupredict protein mutation, hakuna mtu dunia anayejua amino acids sequence rules ambazo zina make protein

Kama haya mambo ya protein huyajui basi bado kuna mambo mengi hujui
 
Mkuu hakuna kitu kipya kwasasa kwahyo usiseme hakuna anaejua, Dunia ya sasa ni innovation tu hakuna mambo ya uvumbuz
Angalia huku nimeelezea protein

Back
Top Bottom