Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Usiwe na harakaSasa kam huna chama unachaguliwa na nan,?
Usiwe na harakaSasa kam huna chama unachaguliwa na nan,?
ITS A GREAT IDEA YOU HAVE RIGHT THERE
THE PROBLEM WITH YOU IS
I DONT GET IT WHICH POLITICAL PARTY YOU AFFILIATE YOUR SELF WITH THE LAWS OF THIS COUNTRY REQUIRES INDIVIDUAL TO AFFILIATE IN POLITICAL PARTY INORDER TO RUN FOR PRESIDENCY AND HERE YOU ARE SAYING YOU AIN'T IN ANY POLITICAL PARTY
CLEAR THIS BEFORE SPITTING YOUR PLANS
ndugu naitaji kusupport unachofanya ila lets be clear iunajua kabsa hii nchi raisi lazima atoke CCM so either wewe ni mwana kada wa ccm alie na plan kuwa raisi au unafanya plan za kuingia CCMUsiwe na haraka
Hoja zote zinamantiki lakini kusema ww ndo unajua pekee Yako kuhusu prediction ya protein mutation hili Sina uhakika nalo lkn kama unajua Kwann usiwasilishe wazo lako sehem sahihi usaidie Dunia Kwa ujumlaHakuna mtu yeyote duniani mpaka navyoandika sahivi anayeweza kupredict protein mutation, hakuna mtu dunia anayejua amino acids sequence rules ambazo zina make protein
Kama haya mambo ya protein huyajui basi bado kuna mambo mengi hujui
Historia inaandikwa in awkward wayndugu naitaji kusupport unachofanya ila lets be clear iunajua kabsa hii nchi raisi lazima atoke CCM so either wewe ni mwana kada wa ccm alie na plan kuwa raisi au unafanya plan za kuingia CCM
tutafute ela ya kugombea 2030 ila tuakikishe kunauwezekano wakuwa raisi kupitia chama ambacho wananchi wamechagua ila isiwe vinginevyo kama ilivyo sasa tutapoteza ela kwenye kupata form alafu tusipate HAKI...
KWANINI USIFANYE MAAJABU KWENYE HAKI WENGI WAKUSIKIE ALFU 2030 UJE KUGOMBANIA I SWEAR NIKIKUSIKIA UNAONGELEA HAKI YA HAPA TANZANIA NITAFANYA "FUND ME" TUCHUKUE FORM
Ndio mimi nina njia za kupredict protein mutation, na kujua rules za amino acids sequence which make protein sijisifii hapana bali najaribu kukuelezea ukweliHoja zote zinamantiki lakini kusema ww ndo unajua pekee Yako kuhusu prediction ya protein mutation hili Sina uhakika nalo lkn kama unajua Kwann usiwasilishe wazo lako sehem sahihi usaidie Dunia Kwa ujumla
Kupitia chama gani mkuuKuanzia mwaka huu 2025 nipo kwenye kinyanganyiro ch Urais wa Tanzania
Huku nimeelezea vizuriKupitia chama gani mkuu
Nenda wewe, hayo mambo juu ya uwezo wako utaelewa hivyo kidogo-kidogoBro nenda hospitali.
Na hospitali hutaki kwenda ? Ngoja tuwapigie waje kumchukua mtu wao.Nenda wewe, hayo mambo juu ya uwezo wako utaelewa hivyo kidogo-kidogo
Unadhani kuniambia hivyo unaninekara unaakili ndogo sanaNa hospitali hutaki kwenda ? Ngoja tuwapigie waje kumchukua mtu wao.
Tatizo ni kwamba Tanzania hawaruhusu mgombea wa Kujitegemea ambae hana chama. Una mkakati gani ktk hili.Sina chama
Tawiree mamaTawireee