Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuanzia mwaka huu 2025 nipo kwenye kinyanganyiro ch Urais wa TanzaniaHivi mwashimiwa una mpango wa kugombea mwaka huu au 2030??
Chama gani??Kuanzia mwaka huu 2025 nipo kwenye kinyanganyiro ch Urais wa Tanzania
Sina chamaChama gani??
KwannSina chama
Karibu Chaumma mkuuSina chama
Kama unasema ni vichekesho basi uwezo wako ni mdogo juu ya haya mambo sio kosa lakoHv ni vichekesho, lkn dawa rahisi ya kutopata ukimwi ni kutokua na Kinga ya mwili sana CD4 kweny white blood cells!!! Swali je inawezekana kuzitoa na madhara yapoje?
NopKaribu Chaumma mkuu
Nina uwezo mpana kukizidi kweny hiyo kada, lkn skupingi ww kua raisi maana hakuna anaejua vyoteKama unasema ni vichekesho basi uwezo wako ni mdogo juu ya haya mambo sio kosa lako
Kama ungekuwa na uwezo mkubwa kwenye dawa basi ungejulikana fahamu hakuna kampuni yeyote ya afrika iliyozalisha dawaNina uwezo mpana kukizidi kweny hiyo kada, lkn skupingi ww kua raisi maana hakuna anaejua vyote
Mkuu hakuna kitu kipya kwasasa kwahyo usiseme hakuna anaejua, Dunia ya sasa ni innovation tu hakuna mambo ya uvumbuzKama ungekuwa na uwezo mkubwa kwenye dawa basi ungejulikana fahamu hakuna kampuni yeyote ya afrika iliyozalisha dawa
South africa angalau wanafanya attempt sababu ya wale wazungu
Mimi nina mambo ambayo hata wazingu hawayajui mfano
Hakuna mtu ameshawahi kuwaza kupredict protein mutation
Hakuna mtu duniani ambaye anajua rules behind amino acids sequence which make protein ila mimi naijua hiyo rule
Hakuna mtu duniani anajua protein folding mechanism ila mimi ninajua protein folding mechanism
Tatizo la viral hasa RNA viral ni kwamba protein ku-undergo mutation hiyo ndo kikwazo kikubwa sana na ukienda hata kwenye cancerous cells utakutana na hii changamoto protein wana-undergo mutation constantKubadili muundo wa CD 4 receptors ndo njia kubwa lkn madhara n mengi kuliko faida, kutokua kabsa na CD 4 receptors ndo jibu la moja Kwa Moja lakn hapo utakufa hata Kwa fangasi wa kweny pumbu, kufunga lango la pili la CD 4 receptors ndo njia YENYE mafanikio hadi sasa lkn napo inaathiri ufanyaji kazi wa Kinga za mwili.
Mwisho kabsa tuombe mungu miili yetu evolve yenyewe kutengeneza natural antibodies za kupambana na huu ugonjwa lakn kitaaluma hadi sasa tumeshindwa lakn jitihada zinaendelea na hakuna kukata tamaa
Hakuna mtu yeyote duniani mpaka navyoandika sahivi anayeweza kupredict protein mutation, hakuna mtu dunia anayejua amino acids sequence rules ambazo zina make proteinMkuu hakuna kitu kipya kwasasa kwahyo usiseme hakuna anaejua, Dunia ya sasa ni innovation tu hakuna mambo ya uvumbuz
Sasa kam huna chama unachaguliwa na nan,?Sina chama
Angalia huku nimeelezea proteinMkuu hakuna kitu kipya kwasasa kwahyo usiseme hakuna anaejua, Dunia ya sasa ni innovation tu hakuna mambo ya uvumbuz