Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Tangawizi Ni zaidi ya Viagra<Kuna namna ukiiandaa iwe kinywaji chako kila siku badala ya chai, aisee hutojuta, inaongeza performance na wingi wa mbegu pia,
na supu ya samaki wa maji chumvi,
Mchawi wa nguvu za kiume Ni vyakula tunavyokula tu.
 
1659001147650.png
 
Isiishie kwenye kufungiwa, bali muhusika anatakiwa kuchukuliwa hatua kali za kisheria maana huko ni kuhatarisha maisha ya watu hata kupelekea vifo ukizingatia aina ya dawa iliyotumika kwenye mchanganyiko huo (Sildenafil Citrate/Viagra).
 
Back
Top Bottom