Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Sidenafil huwa si zinamezwa(oral route) sasa kuna connection gani na vumbi ambalo huwa unapaka juu ya uume! Waandishi wa habari kazi yao kuripoti tu bila kuuliza maswal kma haya!!
mkuu hata mimi nimeshindwa kuelewa au labda wengine wanakunywa hilo vumbi
 
Sasa hawa mbona wanatuondilea silaha yetu ya mahangamizi kwa wale wanawake wala nauli
Wameamua kuwaharibia wahuni show, inaonekana huyo fala aligongewa mkewe kwa vumbi la congo baada ya kufuma meseji mkewe akimsifia king'asti wake kaamua kwenda kuharibu kitengo 😂😂😂
 
Kuna hii nayo sijui kama imefika uko hii ni parfum inaitwa stud100
Hii ina kufanya umwage baada ya saa moja ila vijana kuweni makini
Screenshot_20220727_181757_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Kama nawaona vile wazee wa kujibusti wanavyosoma habari hii huku wameshika tama 😂

Naona ile vicks itapanda bei, ngoja nianze hii biashara huenda nikatajirikia humu.
Mkongo inapakwa. Viagra inamezwa, sasa hapo wamechanganyaje?
 
Mimi naona Sasa thamani yake itapanda ..maana watu wataingiza kimagendo na itauzwa Kama kawaida
 
Sidenafil huwa si zinamezwa(oral route) sasa kuna connection gani na vumbi ambalo huwa unapaka juu ya uume! Waandishi wa habari kazi yao kuripoti tu bila kuuliza maswal kma haya!!
Nimejiuliza sana swali kama hili bila majibu, humu kila mtu anapiga kelele imechanganywa na sidenefil na tadanefil, labda kuna mikongo ya kunywa
 
Wameileta maksudi ili kuondoa attention ya ongezeko la 23% ya mshahara[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwani walipo isajili walisajili kama dawa ya mafua?

Je waliisajili bila kuifanyia uchunguzi inasaidia nini ?

Je ingekuwa sumu na walisha ipitisha itumike wangapi wangepoteza maisha?
 
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra).

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Masanja Malebo, ametoa kauli hiyo Julai 27, 2022 mjini Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Profesa Malebo alisema baraza katika uchunguzi wake, lilibaini dawa iitwayo Hensha maarufu Mkongo, yenye usajili namba TZ17TM0027, ilikutwa imechanganywa na dawa ya kisasa ya nguvu za kiume iitwayo sildenafil, kwa jina maarufu la biashara Viagra ama Erecto.

Alisema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na miongozo ya usajili wa dawa za tiba asili na mbadala.

Alisema kituo hicho kimetakiwa kuhakikisha kinaiondoa sokoni mara moja dawa hiyo, vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mmiliki.

CHanzo: Habari Leo
kwa mujibu wa maelezo ni kama dawa ilikuwa kwa matumizi mengine ambayo hayajatajwa,ila tatizo limekuja kwakuwa ndani yake kuna mchanganyo wa nguvu za kiume.Napongeza sana hatua hii wanaume legelege mlikwisha lemaa na hi cjuw mtaenda kwenye za kichina au kihindi?
 
japo siyo wote but kuna watengenezaji wengine wa alkasusu wanachanganya na erecto gram 50
Ndio maana,nimeamua kukiepuka Kinywaji hicho ili nisijitafutie Ugonjwa kiharusi au mauti ya ghafla.

Na ni vigumu kujua ipi haina Erecto na ipi ina Erecto ni sawasawa na ni Russian roulete.

Nikimuona muuza Alkasusu anakuja napita Barabara nyingine..tunashea Asalam aleykum tu.
 
Mkongo a.k.a vumbi la Kongo ni dawa ya kupaka kwenye dusheee ili kuua sensitivity pale kwenye kichwa hii hupelekea mkurungwa kupiga show Kali...

Viagra ni dawa ambayo mtu hunywa ili kuongeza mzunguko wa damu hii hupelekea dusheee kusimama hata baada ya kupizi na show huendelea bila kusimama...

Sasa sijajua mtu anaweza kuchanganya vipi mkongo na Viagra [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au Mimi ndo sina akili... Kwani Kama unaumwa kichwa unaweza kusaga Panadol halafu ukajipaka kichwani ili upone? Hebu mmoja anifafanulie labda mi ndo sielewi jinsi vumbi la Kongo linavoweza kuchanganywa na Viagra
 
Acha walifungie sisi wengine limeshatupiga tukio tunajuta kulifahamu yani
 
Back
Top Bottom