Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Wakuu,

Nimepata habari kuwa, vumbi la Kongo limefungiwa.

Hili suala linahitaji kujadiliwa kitaifa.

Vumbi la Kongo limekuwa mkombozi kwa wengi. Kulifungia tu bila kufanya critical analysis ya effects zake ni kosa kubwa.

Tunahitaji kupaza sauti ili vumbi la Kongo lirudi sokoni.

Asantee

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Mtajitokeza wengi wahanga wa hili.

Ajira kwa mashangazi inafika ukomo kwa immediately effect
 
Ukiangalia kwa umakini ni kama serikali imeamu kuacha mambo yake na kufatilia maisha yetu

Hivi Serikali huwezi kuwa bize na mambo yako binafsi?[emoji23][emoji23]
 
Ukiangalia kwa umakini ni kama serikali imeamu kuacha mambo yake na kufatilia maisha yetu

Hivi Serikali huwezi kuwa bize na mambo yako binafsi?[emoji23][emoji23]
😂😂 Yani wakiona vijana wameanza kuwa na furaha kwenye jambo fulani nao wanatia timu ilimradi watu wateseke
 
Hivi mwanaume timamu au rijali unatumia huo upuuzi ili ugundue nini.
Mnafeli wapi asee, hamjui mazoezi hamjui diet au hivyo mnaviona vigumu,

ndo maana mashosti wanaongezeka kwa fujo.
F*ck it heal the world dear God
🙄🙄
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana vifo vya ghafla Guest vilikuwa vimeongezeka sana

Kuna hichi kinywaji kinachoitwa Alkasusu nacho kifanyiwe uchunguzi, kidogo kinitoe Roho.
 
Back
Top Bottom