Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

😂😂😂

Kuna ndoa zinaenda kuvunjika hapo, Kama katazo hili litashikiliwa kidete
Kwani hizo dawa zilikuwa zinafanya kazi kweli?

Kwanini watu wasiji-train kutumia nguvu asili kama ni kweli ilikuwa inafanya kazi basi kuna watu watapata shida sana
 
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala , Professor Malebo Hamisi amesema Baraza hilo limeifungia dawa inayoitwa Hensha maarufu kama mkongo yenye namba za usajili TZ17TM0027. Professor Malebo amesema dawa hiyo imekutwa imechanganywa na dawa ya kisasa ya nguvu za kiume inayoitwa Sildenafil kwa jina maarufu la biashara ni Viagra na kusema kuwa Baraza litaendelea kuwafungia wote wanaokiuka Sheria. Aidha akasema Ameagiza dawa hiyo iondolewe mara moja sokoni kabla hatua zaidi za kisheria hazijachukuliwa.

Je unalipi la kusema ? Unahisi ni wanaume wa kundi lipi wataathirika zaidi?
1658936195336.jpg
WATUMIAJI WA MKONGO WAANGUA KILIO
 
Kwani hizo dawa zilikuwa zinafanya kazi kweli?

Kwanini watu wasiji-train kutumia nguvu asili kama ni kweli ilikuwa inafanya kazi basi kuna watu watapata shida sana
unauliza majibu
Nguvu za asili ni zipi? Mcongo sio nguvu za asili?
 
Dadeki na hela sina , nilikua nasema ananipendea show show [emoji3][emoji3][emoji3] sasa wenye nchi yao wamenikomoa wamefuta !!

Hiki kibuti atakachonipiga Hamida mniombee [emoji25]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom