Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu. Watu wanakimbilia miti shamba sijui vumbi la Kongo wakati Kuna Viagra na Cialis wataalam wamekaa maabara miaka na kufanya utafiti natokeo yake iyo vumbi la Kongo usikute ilikuwa unga wa muhogo tu wakawa wanachanganya na Viagra. Hata ile miti shamba ya kimasai yote feki. Dawa zote za asili zote feki kwasababu ni kubahatishabahatisha tu. Halafu Viagra ni effective na bei rahis kuliko hizo vumbi la Kongo.Inchi hii ina watu wa hovyo sn.
Mkongo umefutiwa usajili na serikali. Kosa ni kuchanganywa na sildenafir, kemikali mama inayotengeneza dawa za kutibu changamoto ya nguvu za kiume maarufu zaidi kwa majina ya kibiashara kama erecto na viagra.Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra).
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Masanja Malebo, ametoa kauli hiyo Julai 27, 2022 mjini Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Profesa Malebo alisema baraza katika uchunguzi wake, lilibaini dawa iitwayo Hensha maarufu Mkongo, yenye usajili namba TZ17TM0027, ilikutwa imechanganywa na dawa ya kisasa ya nguvu za kiume iitwayo sildenafil, kwa jina maarufu la biashara Viagra ama Erecto.
Alisema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na miongozo ya usajili wa dawa za tiba asili na mbadala.
Alisema kituo hicho kimetakiwa kuhakikisha kinaiondoa sokoni mara moja dawa hiyo, vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mmiliki.
CHanzo: Habari Leo
😂Dadeki na hela sina , nilikua nasema ananipendea show show 😀😀😀 sasa wenye nchi yao wamenikomoa wamefuta !!
Hiki kibuti atakachonipiga Hamida mniombee 😪
Wapige Marufuku Kwani Walikuwa Wanaingiza Wao Hilo Vumbi?Wakuu ile dawa yetu kiboko ya totozi imepigwa bani. [emoji30][emoji30][emoji30]
View attachment 2305797
View attachment 2305796
Unaelewa maana ya kujimaliza? Kwani tukitumia wewe ambae hutumii inakuhusu vipi?Wanaume wasiojielewa walikuwa wanajimaliza wenyewe..View attachment 2305902
Nimecheka sana mpaka mama mkwe kamwaga mboga [emoji23][emoji23]Mkuu kuanzia leo naanza kupiga zoezi !! Nirudishe nguvu za asili [emoji3][emoji3][emoji3] nikanunue kamba na raba.
Nitafute na madame mmoja wa demonstration niwe najipima uwezo ulipofikia !!
Sio zote kwa mfano mti wa quinine ulikuwa ukitumika kutibu Malaria kwa muda mrefuDawa zote za asili zote feki kwasababu n
Ulikunywa cha nini??Ndio maana vifo vya ghafla Guest vilikuwa vimeongezeka sana
Kuna hichi kinywaji kinachoitwa Alkasusu nacho kifanyiwe uchunguzi, kidogo kinitoe Roho.
Ndio mkuu. Lakini utafiti waliufanyia wakakaa maabara. Wenzetu hawabahatishi. Kumbuka tu ujinga na upuuz wa kikombe Cha babu. Dawa nyingi hata za kisasa zinatoka kwenye mimea, sumu ya nyoka na kadhalika. Lakini tafiti ya muda mrefu.Sio zote kwa mfano mti wa quinine ulikuwa ukitumika kutibu Malaria kwa muda mrefu
Na mifano iko mingi sana.
Hizo viagra ni kwa ajiri ya wagonjwa kama wa kisukari tena inatakiwa wapimwe pressure zao kabla ya kutumia.Kweli kabisa mkuu. Watu wanakimbilia miti shamba sijui vumbi la Kongo wakati Kuna Viagra na Cialis wataalam wamekaa maabara miaka na kufanya utafiti natokeo yake iyo vumbi la Kongo usikute ilikuwa unga wa muhogo tu wakawa wanachanganya na Viagra. Hata ile miti shamba ya kimasai yote feki. Dawa zote za asili zote feki kwasababu ni kubahatishabahatisha tu. Halafu Viagra ni effective na bei rahis kuliko hizo vumbi la Kongo.
Ndo maana CCM itatawala muda mrefu Sana.
Kuna posti yangu ya nyuma nimefafanua.
Uko Sahihi kabisa sisi ni wavivu wa kufanya tafiti tumekalia Uchawi zaidi kuliko jambo lolote.Ndio mkuu. Lakini utafiti waliufanyia wakakaa maabara. Wenzetu hawabahatishi. Kumbuka tu ujinga na upuuz wa kikombe Cha babu. Dawa nyingi hata za kisasa zinatoka kwenye mimea, sumu ya nyoka na kadhalika. Lakini tafiti ya muda mrefu.