Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

Kuna waliosema Mafuta ya taa ama diesel... kuzipaka mbao huko darini. Hii ni tiba?

-Kaveli-
 
Habari wana JF
Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la kufa na kupona.

Mkuu, ulipata tiba ya hilo shambulio la wadudu kwenye mbao za dari?

-Kaveli-
 
Nina Formular ya kukutengenezea Dawa Hii... Ni ya Uhakika ila Gharama Ni kubwa Ujiandae kwelikweli Dumu la Lita 20 Ni Tsh 120,000/- Haichanganywi na Maji Ni kupaka tuu. Karibu Inbox
 
Paka oil chafu kwa wingi. Asipake kidogo. Then wataacha.

Kwangu ime work out. Japo nimeweka oil nyingi sana. Dawa wanazouza madukani kwangu ziligoma. It coasted me kama laki 2 kununua dawa wakatulia kwa mda mfupi then within short period wakarudia kuharibu.

But baada ya kuweka oil chafu nyingi mpaka ikavuka kwenye gipsum hatimaye wametulia. Jaribu na wewe
 
Awa wadudu huwa wanatoka wapi mimi nawaskia kila kona ya nyumba kwenye masofa ndani na kwenye vitanda nawaskia miaka yote sijawahi pata hili tatizo limekuja ghafla ndani ni kelele kama misumeno inakatwa
 
Kuna waliosema Mafuta ya taa ama diesel... kuzipaka mbao huko darini. Hii ni tiba?

-Kaveli-
Awa wadudu wameingia na kwangu sijaelewa wametokea wapi nilikuta tu kabati ya vyombo inamwaga unga kwa sasa nawaskia kila kona kuanzia kwenye masofa mpaka nililala nawaskia wanakula kitanda cha ajabu nikitafuta siwaoni
 
Back
Top Bottom