Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
naunga mkono hoja
 
Tunakaribia kumaliza Three Nineties Percent by 2030 ... Kwahiyo vuta subira by the end of 2050 tutakuwa 100% ni suala la muda tu....
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
ARV zinatibu na magonjwa mengine makubwa makubwa, kaa kitako kwa kutulia hujui lolote.
 
Naona mods wamefuta comments zangu. [emoji1787][emoji1787]

Ukweli mchungu ndugu zanguni.

ARV NI SUMU. USIMEZE HUO UCHAFU.
 
Mbona mi sjawahi ona mtu kafa kwa moto kbaisaaa
 
Usiwe pimbi wewe. Toka lini huo mnaoita ukimwi ukamwondoa mtu katika umri mdogo kisa kakwepa kumeza dawa!!! Huyo alikuwa anaumwa ugonjwa unaoeleweka kabisa ila kwa umbulula wenu mkasingizia ni HIV wakatati ukimwi wenyewe unatibika vizuri tu
How is it treated mkuu?
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Brother ukiamka salama na kulala salama shukuru Mungu, ila uwe unatenga siku kwenda kutembelea wagonjwa hospitali wasiojiweza, kuna kitu utajifunza
Umenena mkuu, nilipata ajali niligongwa na gari nimevunjika mguu, nililazwa tumbi hospital,nilichokiona mle hospital nilimshukuru MUNGU kwa uhai,watu wapo mle wanateseka!
 
Hivi miaka ya tisini mlo kamili haukuwepo au hakuna mtu alieweza kuumudu ili apone ukimwi.
 
Back
Top Bottom