Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana

Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,

Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
 
embu nielimishwe hapo bao la pili nalo linakuwaga jingi?

Kwa uelewa wangu bao lq kwqnza linakuwa jingi ila yanayo fwata yanakuwa madogo madogo naona sio shida au ni tatizo?
 
Kwanza, tibu magonjwa ya Zinaa kwako na wife... ( Kama yapo, achana na maneno ya uti)

Kula suppliments na vyakula vyenye zinc kwa wingi.

Tafuta na Fortilo Forte uwe unakoroga unakunywa kwa miez mitatu.

Then tuite tunywe maziwa na mtoto

Kwa mke inabid akafanye hormonal anaysis, na Ultra sound kama mambo bado yapo sawasawa.

Ila Clomiphen Citrate inaivisha mayai chap na haraka.

Muhim nendeni hospitali
 
Kwanza, tibu magonjwa ya Zinaa kwako na wife... ( Kama yapo, achana na maneno ya uti)

Kula suppliments na vyakula vyenye zinc kwa wingi.

Tafuta na Fortilo Forte uwe unakoroga unakunywa kwa miez mitatu.

Then tuite tunywe maziwa na mtoto
Ulizoongea hizi zote technical terms, mimi sizijui, mimi ni lay man when it comes to dawa au supplement, nitazipata wapi na zinauzwa tsh ngapi?
 
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana, mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu, ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
Acha usenge.

Kwan Hujui bao la kwanza shahawa zinakua nyingi, la pili n.k Zinaendelea kupungua, shahawa unazomwaga wewe maana yake ndio zilizopo Stoo, Cha msingi kula karanga mbichi, nazi, parachichi .

Kuhusu Ukavu wa K ya Mkeo.

Mnunulia OESTROGEN CREAM apakae ukeni mara moja Kwa siku Kila siku usiku Kwa mwezi Mmoja.

Na kama anapata shida ya kubeba Mimba, sema pia nikuandikie dawa atumie abebe mimba
 
Kulikuwa hakuna haja ya kumtusi sasa ndugu mtaalamu.
 
Acha usenge.

Kwan Hujui bao la kwanza shahawa zinakua nyingi, la pili n.k Zinaendelea kupungua, shahawa unazomwaga wewe maana yake ndio zilizopo Stoo, Cha msingi kula karanga mbichi, nazi, parachichi .

Kuhusu Ukavu wa K ya Mkeo.

Mnunulia OESTROGEN CREAM apakae ukeni mara moja Kwa siku Kila siku usiku Kwa mwezi Mmoja.

Na kama anapata shida ya kubeba Mimba, sema pia nikuandikie dawa atumie abebe mimba
Asante, haya ni maongezi ya kiume, hayo matusi poa tu, mradi ujumbe umefika, sasa mkuu naomba nitajie hizo dawa, maana ni kweli wife habebi mimba, na tuongeze mtoto wa tatu/ mwisho
 
Asante, haya ni maongezi ya kiume, hayo matusi poa tu, mradi ujumbe umefika, sasa mkuu naomba nitajie hizo dawa, maana ni kweli wife habebi mimba, na tuongeze mtoto wa tatu/ mwisho
Mtoto wenu wapili Kwa Sasa ana umri gani?
Baada ya kujifungua alitumia njia yoyote ya uzazi mpango?. Hedhi zake ziko sawa au zinabadilika badilika ovyo?.
 
Back
Top Bottom