Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyie mtakua mna UTI sugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyie mtakua mna UTI sugu
Ipo moja nzuri anapika chai tu anakunywa ata conceive within a monthHuu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana
Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,
Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
Si ANYWE SUPU KARAFUU TU SIKU 3 KABLA YA HEDHI NA SIKU 7 BAADA YA HEDHI ATA BEBA UJAUZITO LABDA AWE KAROGWAAcha usenge.
Kwan Hujui bao la kwanza shahawa zinakua nyingi, la pili n.k Zinaendelea kupungua, shahawa unazomwaga wewe maana yake ndio zilizopo Stoo, Cha msingi kula karanga mbichi, nazi, parachichi .
Kuhusu Ukavu wa K ya Mkeo.
Mnunulia OESTROGEN CREAM apakae ukeni mara moja Kwa siku Kila siku usiku Kwa mwezi Mmoja.
Na kama anapata shida ya kubeba Mimba, sema pia nikuandikie dawa atumie abebe mimba
Yamekuwa hayo tena,kwani nini tatizo hapo,,uzao si upo hapo mwanzoni??wakizeeka wote nini tabu weye.Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
Kuna comment naitafuta hapa hajiandikwa kwa akili za watt 2000embu nielimishwe hapo bao la pili nalo linakuwaga jingi?
Kwa uelewa wangu bao lq kwqnza linakuwa jingi ila yanayo fwata yanakuwa madogo madogo naona sio shida au ni tatizo?
Mp zile zisozokua na madhara...