Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana

Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,

Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia

Nendeni hospitali mkaonane na daktari bingwa wa kina mama na uzazi (obstetrician and gynecologist) ili mfanyiwe uchunguzi na vipimo ili kubaini matatizo na hatimaye mpatiwe matibabu sahihi.

Kila la kheri.
 
Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
Mkuu mbona unatudhalilisha? Mimi wife tumepishana 1 yr, halafu unasema hatuna akili kweli?
 
Hospital tushaenda, walifanya vipimo kadhaa wakasema hakuna tatizo, mtazaa tu endeleeni na maisha
Zitakazikusaidia wewe na mkeo kupata watoto ni dawa za asili ambazo huzitaki.... Endelea kuzitafuta hizo za hospitali ... Utakumbuka maneno ninayoandika hapa. Nukta✍🏽
 
Hadi jukwaa la afya kuna blahblah? mtu anaomba msaada wa kuelimishwa then watu wanaanza vijembe, wenye kujua sayansi ya uzazi i mean doctors embu dadavueni kisomi
 
Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
ww kweli punga usiye na akili ukute hata hii mada hujaisoma umejikurupukia tu kukoment.kwani umeambiwa wametoka kufunga ndoa kweli huna akili..wakati mleta mada anatafuta mtoto wa tatu kwa umri wa miaka 33 mbona sahihi tu kwanza ww hujui mtoto wao wa kwanza tangu abebe mimba miezi 9 aje anyonyeshe miaka miwili na bado mtoto wa pili miezi 9 tumboni na miwili kunyonyesha..kwa miaka yao 37&33 wanatafuta mtoto wa tatu mbona wako pazuri sana..wakati baadhi ya wanaume wengi miaka hiyo 29-35 ndio kwanza wanafunga ndoa.! tatizo ww umedoda huko na umri wako mkubwa hadi madogo kiumri wamekuacha mbali ndoivo umejaa stress za wivu hadi unatoa maneno hayo ya kishenzi pole sana..!
 
Ilinitokea na Mimi, tukaenda hosp, swali la kwanza dokta akaniuliza unavuta sigara? Nikakataa ila nilikua navuta kweli,wakachukua damu kuwa nitarudi kupata majibu,sikurudi Tena ila mtoto nilipata...wa pili huyo
 
Wangekuwa wanagawa vizazi ningewapa, maana wengine hapa tuna vizazi vya paka
 
Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
ata Apply islamic law wake wanne mwisho..ondoa shaka.
 
Hospital tushaenda, walifanya vipimo kadhaa wakasema hakuna tatizo, mtazaa tu endeleeni na maisha
Ungedadavua vipimo vipi mlifanyiwa nyote wawili, kwa kawaida wanandoa wakitafuta mtoto kwa mwaka mmoja bila mafanikio hilo huchukuliwa ni tatizo na vipimo vitaanza, sasa nyie miaka miwili daktari atasemaje endeleeni na maisha mtazaa nina mashaka kama mlionana kweli na mtaalam wa afya ya uzazi a.k.a gynecologist
 
WOTE WAWILI NENDENI HOSPITALI KUBWA SIO VIOSKI,VIJIWE VYA UCHOCHORONI AU ZAHANATI,HOSPITALI KUBWA KAMA YA KANDA MKOA AU YA TAIFA,AU PRIVATE KAMA AGAKHAN ,N.K NAANISHA HOSPITALI YENYE HUDUMA ZA KIBINGWA KIBOBEZI MUONANE NA DAKATARI BINGWA WA WANAWAKE.HAPO MUHIMBILI NAFIKIRI WANAPANDIKIZA MIMBA(IVF).
 
Acha usenge.

Kwan Hujui bao la kwanza shahawa zinakua nyingi, la pili n.k Zinaendelea kupungua, shahawa unazomwaga wewe maana yake ndio zilizopo Stoo, Cha msingi kula karanga mbichi, nazi, parachichi .

Kuhusu Ukavu wa K ya Mkeo.

Mnunulia OESTROGEN CREAM apakae ukeni mara moja Kwa siku Kila siku usiku Kwa mwezi Mmoja.

Na kama anapata shida ya kubeba Mimba, sema pia nikuandikie dawa atumie abebe mimba
Daktari naomba ushauri: mimi pia bao la kwanza hua namwaga shahawa japo ni chache, baada ya hapo siewezi tena kumwaga hata nikisex masaa matatu au sometime naskia kama kumwaga ila unatoka upepo tu hamna shahawa.

NB: machine inasimama vzuri tu ila ndo siwez ku ejaculate. je suluhisho la tatzo hili ni nn?
Carlos The Jackal
 
Mtaalam wingi wa bao sio wingi wa mbegu
btw bao lina mschanganyo wa Semen na sperm
Daktari naomba ushauri: mimi pia bao la kwanza hua namwaga shahawa japo ni chache, baada ya hapo siewezi tena kumwaga hata nikisex masaa matatu au sometime naskia kama kumwaga ila unatoka upepo tu hamna shahawa.

NB: machine inasimama vzuri tu ila ndo siwez ku ejaculate. je suluhisho la tatzo hili ni nn?
spidernyoka
 
Fika kituo cha afya ufanyiwe vipimo
Lakini pia jitahidi ufanye mazoezi na kuongeza lishe
Tumia sana vyakula vinavyoongeza wingi
Jamii ya mboga za maboga
Tikiti
Karanga
Korosho
Mazoez pia muhimu
 
Fika kituo cha afya ufanyiwe vipimo
Lakini pia jitahidi ufanye mazoezi na kuongeza lishe
Tumia sana vyakula vinavyoongeza wingi
Jamii ya mboga za maboga
Tikiti
Karanga
Korosho
Mazoez pia muhimu
nashukuru.
 
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana

Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,

Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
Mimi sio daktari ni mchungaji.....Mungu alivyo na maajabu,unawaza mpate wa mtoto mmoja wa tatu wa mwisho, nae alivyo na mitihani ya baraka na akakubless pacha wa nne kama wenzio wa Moshi....😆😆😆😆 any way tombaneni sana tu KAMA MLISHA ZAA MTAZAA TU
 
Mim
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana

Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,

Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
i nina formula ya matunda faida yake inaongeza mbegu na speed formula ni maelekezo ya kutumia matunda manne kwa asubuh na jion nayo ni ndiz karot tikit parachichi maji na zoez la kufanyia chumban kwa dk kumi bei ya formula ni elf 22 tu pia inajumuisha formula ya maji ya uvuguvugu na kwa mke wako atumie bamia akate kate aweke kwenye kikombo usiku assubuh achuje anywe kisha aweke maji usiku achuje anywe hii itasaidia hormone ya estrogen na ute ute pamoja kukomaza yai liwe bora pia ntakupatia namna ya kupata mtoto wa kike au kiume na siku ya mimba kuingia ntakuelekeza 0712505049
 
mna watoto wawili tayar lakini mko kama vile ndio mnaanza kutafuta mtoto na hamna kabisa mtoto, kua mkavu inawezekana hamuandaani vya kutosha halaf hujui bao la pili ni kawaida litoke kidogo? una papara kama bao la kwanza.
 
Back
Top Bottom