Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

Mtoto wenu wapili Kwa Sasa ana umri gani?
Baada ya kujifungua alitumia njia yoyote ya uzazi mpango?. Hedhi zake ziko sawa au zinabadilika badilika ovyo?.
Ana 4 yrs, hedhi yake inaweza kwa miezi mitatu ikaanza after every 28 days, na miezi mingine inachelewa mpaka 36 au 57 days
 
A
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana

Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,

Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
Andika email nikutumie picha ununue
 
Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
 
Kila unachoambiwa wewe sawa tuu na unauliza bei, utakuja kujutia na ujinga wako sasa kila dawa utatumia?
Mke wako anashida sana ni kama hujielewi.
Sorry.
 
Semen ndo yale maji kama Media ya vidudu kusafiri
Unaweza ukatoa maji machache ila vidudu vya kushato na unaweza ukatoa maji (Semen ) nyingi alafu vidudu vchache tunaita Oligospermia
Nimekupata
 
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana

Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu,

Ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
Mtafute prof Janabi.
Maana yeye ndo mshauri wa raisi mambo ya afya.
 
Back
Top Bottom