Hospital tushaenda, walifanya vipimo kadhaa wakasema hakuna tatizo, mtazaa tu endeleeni na maishaNendeni hospital mkapate vipimo, mtamezaje dawa kiholela bila kujua tatizo lenu na hizo dawa za kupevusha mayai hua sio nzuri matumizi yakizidi kansa ipo mlangoni
Poleni sana..... Fikeni hospital muwaone madaktari wa uzazi!
Hata mitishamba mizuri tuu
Ikawe khery kwenu
Poor Brain mjomba wake mwalimu na dory
BRAZA CHOGO
SECRETARY BIRD
Hapana, hatujapanga uzaziKama mlipanga uzazi muwe wapole
Ulizoongea hizi zote technical terms, mimi sizijui, mimi ni lay man when it comes to dawa au supplement, nitazipata wapi na zinauzwa tsh ngapi?Kwanza, tibu magonjwa ya Zinaa kwako na wife... ( Kama yapo, achana na maneno ya uti)
Kula suppliments na vyakula vyenye zinc kwa wingi.
Tafuta na Fortilo Forte uwe unakoroga unakunywa kwa miez mitatu.
Then tuite tunywe maziwa na mtoto
🤣🤣🤣🤣🙌Kwa hiyo kumpa mimba mwanamke inahitajika kidumu cha lita 5 za sperm au sio?
Acha usenge.Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana, mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa za hospital za kumpevusha mayai wife, na mimi nipate dawa ya kuongeza mbegu, ni dawa gani na zinauzwa bei gani? dawa za mitishamba sitaki kutumia
Kulikuwa hakuna haja ya kumtusi sasa ndugu mtaalamu.Acha usenge.
Kwan Hujui bao la kwanza shahawa zinakua nyingi, la pili n.k Zinaendelea kupungua, shahawa unazomwaga wewe maana yake ndio zilizopo Stoo, Cha msingi kula karanga mbichi, nazi, parachichi .
Kuhusu Ukavu wa K ya Mkeo.
Mnunulia OESTROGEN CREAM apakae ukeni mara moja Kwa siku Kila siku usiku Kwa mwezi Mmoja.
Na kama anapata shida ya kubeba Mimba, sema pia nikuandikie dawa atumie abebe mimba
Asante, haya ni maongezi ya kiume, hayo matusi poa tu, mradi ujumbe umefika, sasa mkuu naomba nitajie hizo dawa, maana ni kweli wife habebi mimba, na tuongeze mtoto wa tatu/ mwishoAcha usenge.
Kwan Hujui bao la kwanza shahawa zinakua nyingi, la pili n.k Zinaendelea kupungua, shahawa unazomwaga wewe maana yake ndio zilizopo Stoo, Cha msingi kula karanga mbichi, nazi, parachichi .
Kuhusu Ukavu wa K ya Mkeo.
Mnunulia OESTROGEN CREAM apakae ukeni mara moja Kwa siku Kila siku usiku Kwa mwezi Mmoja.
Na kama anapata shida ya kubeba Mimba, sema pia nikuandikie dawa atumie abebe mimba
Mtoto wenu wapili Kwa Sasa ana umri gani?Asante, haya ni maongezi ya kiume, hayo matusi poa tu, mradi ujumbe umefika, sasa mkuu naomba nitajie hizo dawa, maana ni kweli wife habebi mimba, na tuongeze mtoto wa tatu/ mwisho