Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

Mtoto wenu wapili Kwa Sasa ana umri gani?
Baada ya kujifungua alitumia njia yoyote ya uzazi mpango?. Hedhi zake ziko sawa au zinabadilika badilika ovyo?.
Ana 4 yrs, hedhi yake inaweza kwa miezi mitatu ikaanza after every 28 days, na miezi mingine inachelewa mpaka 36 au 57 days
 
A
Andika email nikutumie picha ununue
 
Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
 
Pm ha
Daaah mkuu mda huu nipo na dorry hapa.ofisini ujue ahahaha wee jamaaa kweli una kitu..

Ngoja nikutafute pm maana maajabu haya umemtaja mtu na nipo nae haap
ifanyi kazi kama upo WhatsApp tutumie hiyo
 
Kila unachoambiwa wewe sawa tuu na unauliza bei, utakuja kujutia na ujinga wako sasa kila dawa utatumia?
Mke wako anashida sana ni kama hujielewi.
Sorry.
 
Semen ndo yale maji kama Media ya vidudu kusafiri
Unaweza ukatoa maji machache ila vidudu vya kushato na unaweza ukatoa maji (Semen ) nyingi alafu vidudu vchache tunaita Oligospermia
Nimekupata
 
Mtafute prof Janabi.
Maana yeye ndo mshauri wa raisi mambo ya afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…