Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

Ipo moja nzuri anapika chai tu anakunywa ata conceive within a month
 
Si ANYWE SUPU KARAFUU TU SIKU 3 KABLA YA HEDHI NA SIKU 7 BAADA YA HEDHI ATA BEBA UJAUZITO LABDA AWE KAROGWA
 
Uko wapi uje nikuelekeze uende hospital ufanye vipimo halafu uanze kutumia dawa
 
NAONA wote mnajibu ma single dady n mom
Shaah
Napitatu
 
Yaani 37 yrs unaoa mzee wa miaka 33?,wanawake wameisha kwneye hii Dunia?,upishane na mwanamke miaka 4 ,uje kusumbua watu hapa?,kilindi wewe ni kijana wa miama 47,huyo kikongwe atakua na 43?,menopause,una akili kwelie wewe!
Yamekuwa hayo tena,kwani nini tatizo hapo,,uzao si upo hapo mwanzoni??wakizeeka wote nini tabu weye.
 
embu nielimishwe hapo bao la pili nalo linakuwaga jingi?

Kwa uelewa wangu bao lq kwqnza linakuwa jingi ila yanayo fwata yanakuwa madogo madogo naona sio shida au ni tatizo?
Kuna comment naitafuta hapa hajiandikwa kwa akili za watt 2000
 
Kwa mwanaume naweza kuchangia, kula kwa wingi mhogo mbichi, karanga mbichi, shahawa zitaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…