RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,757
Pale ambapo watawala wamechoka kutawala na watawaliwa nao wanalazimishwa kujikomboa ... yangu macho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante serikali.Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Taarifa kamili itawajia hivi punde
Kwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
Stay connected. JF itakuwa ya kwanza kuwahabarisha
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Taarifa kamili itawajia hivi punde
Kaka mkubwa amepatikana chimbo gani? Maana nasikia alikuwa invisibleTaarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Taarifa kamili itawajia hivi punde
Asipojimaliza?Kwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
Hizi jitihada zingetumika kuwakamata wezi wa pesa za escrow,lugumi etc nchi ingekua mbali kimaendeleo.
Sijui ni kwanini nguvu nyingi ya dola inatumika kwenye mambo yasiyokua na msingi badala ya real issues
Hapa ndo naamini wale waliosema hii vita ni visasi vya kisiasa