Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hicho ndicho mbowe alikuwa anataka kifanyike kwa manufaa yake na wanaharakati wanaojitambua... Alitaka afuatwe siyo kujipeleka kama gogo.. Aidha apelekewe taarifa kiutaratibu... taarifa ya lizaboni sisi haitushtui coz tulijua hayo mambo mawili lazima yatokee...
 
Naona heshima ya wadau... kwa mbaali inaimarika km huyu tu ndani basi mmh....hapa ni mwendo wa kutii sheria bila.....
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Taarifa kamili itawajia hivi punde

Kwanini huwa unawashwa sana na Mambo ya mbowe?!
 
Ilikuwa lazima apatikane na kukamatwa, Ndio maana nashangaa kwa nini ajifiche...
Kama anaona anachofanya ni sahihi kisheria angeendelea na shuguli zake waziwazi sio kujifichaficha

Mmeshampeleka Riziwani na Diamond??
 
ni bora kuwa na adui mwenye akili kuliko kuwa na rafiki mjinga kwaheri tanzania
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa kamili itawajia hivi punde

Umempelekea taarifa Makonda??
 
Back
Top Bottom