Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Lizabon inaonekana Leo huko Lumumba kumechafuka ndo maana mmejazana humu ili mtafute hizo buku7. Kuna mwenzako amekuja na ya nccr wewe ya Mbowe.......Haya jitahidi kuleta ututusa wako
Kwani ni dhambi kuwaletea taarifa?
 
Hata akipanga maandamano huwa anapanga halafu anatoroka anawaachia zigo wenzie mwoga sana huyo

Aliyekwambia Mbowe aliogopa kwenda polisi nani??Amesema hivi kama Polisi inamuhitaji kusaidia vita vya madawa wamuite kwa heshima na siyo kupitia East African TV au Clouds
 
Mandela alikuwa mwaminifu na msafi. Huwezi kumlinganisha Mandela na mambo ya kijinga jinga
Kwa mtazamo wa makaburu wakati ule Mandela alikuwa mhalifu tena haini. Kwa makaburu weusi wa hapa tz mbowe ni mhalifu.
 
mimi hawa sijawasikia, wakiwemo watapelekwa tu mkuu. Tuhuma zao hazisafishi tuhuma za mbowe. acha kuyumba mkuu

Mbowe hana tuhuma zozote,chuki za matajiri zinawasumbua sana utawala wa awamu ya tano lakini mwisho wa siku matatamani Dunia iapsuke mwingie ndani yake??

Mmefanya haya sababu ya kesi ya kesho ili muikimbie,na hamtaikimbia.
 
daaah hii hatari aisee utawala bora uko wapi utawala wa sheria uko wapi demokrasiya iko wapi semeni basi huu utawala wa kifalme hauna katiba wala sheria tujue moja hakuna haja ya kuwa na upinza tanzania kama hao wapinzani hawaheshimiwi
Utawala bora ni pamoja na kutii sheria bila shurti.
 
Kwa hiyo msilalamike kuwa ananyanyaswa wakati mnatangaza chama.!

Unyanyasaji uko pale pale.Mkimaliza miaka mitano kwenye kampeni mtatuambia mlikuwa mnakimbizana na Upinzani
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa kamili itawajia hivi punde

Muda huu kweli makonda atakuwa ofisini? maana najaribu kuangalia zile mishemishe za pale central, mhojiane, muende kwenye upekuzi, muende kwa mkemia mkuu, duuu,
 
Back
Top Bottom