realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Kwa bahati nzuri watanzania,wana akili za kujitambua,,,,,,wanajua kila hila na maonevu yanapo fanyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ilibidi awe mfano wa jamii kwa kufuata sheria halali za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...Unyanyasaji uko pale pale.Mkimaliza miaka mitano kwenye kampeni mtatuambia mlikuwa mnakimbizana na Upinzani
My main concern and worries ni kwa huyo wanayemwita mkemistry mkuu wa sirikali. Wasije wakalazimisha vipimo visome post badala ya negaTaarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa kamili itawajia hivi punde
Hakuhusishwa na dawa za kulevya Mandela usimlinganishe na Mbowe.Mandela alihesabiwa kama mhaini wa kisiasa sio wa madawa ya kulevya.Kwa mtazamo wa makaburu wakati ule Mandela alikuwa mhalifu tena haini. Kwa makaburu weusi wa hapa tz mbowe ni mhalifu.
UPINZANI wa kisiasa si UBAGUZITaarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa kamili itawajia hivi punde
Ha ha ha ha kwani nilivyokuwa kwenye kampeni nikisema watu waende msumbijiKwani serikali iliwapeleka??
Lazima jeshi la polisi liogopwe kama jwtz, au umesahau maagizo ya IGP mtarajiwa?si wamemwambia aripoti jumatatu wamemkamamata kwa nini?
Kwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
Wamemchukua akawaonyeshe bilicannas ilipo maana yeye ndio anaijua vizuri ndani na njembona walisema walikosea kua sio mbowe ni billicanas
Sasa yuko chini ya Muhimili mwingine , huko Mahakamani watakuja kumkamata Makonda aliyeshitakiwa. Ngoja kwanza akanyee Debe Central. Kerewiii, Mangi wa watuInatakiwa tujue hatima ya mbowe haipo polisi,Bali mahakamani,labda kama kuna hakimu humu ashauri
ungekuwa unaakili ninge kujibu bahati yako hamnazoUtawala bora ni pamoja na kutii sheria bila shurti.
Hapo umemiss target, anayepishana na kiingereza anajulikanaCNN siku hizi wanaonesha kwa kiswahili?
Kwani amekamatwa akiwa Bungeni?Nchi Inaongozwa Kwa Utawala Wa Sheria ?
Kukamatwa Kwa Mbowe Spika Ndugai Anajua
Ngoma Inogire
Makonda Naye Anaitwa Kwenye Mhimili Kule Akatoe Hesabu