Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Nani ametajwa mara nyingi saana tangu Mwezi Feb uanze......
Mbowe au Lissu
Mh.Rais au Kinana
Zitto au Mama Mwigira
Mwingulu au January
 
Naona sasa GESHI la Polisi limeamua kujivua nguo, wamemkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani huku wakiwa hawana sababu yeyote ya maana.
 
NADHANI AMEKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUTUMIA NA SI VINGINEVYO. BASI WASISAHAU KUMKAMATA NA MWANAMZIKI CHID BENZ.........!
 
Nani ametajwa mara nyingi saana tangu Mwezi Feb uanze......
Mbowe au Lissu
Mh.Rais au Kinana
Zitto au Mama Mwigira
Mwingulu au January
Mkuu, hoja yako inasaidia nini kwenye mjadala huu?
 
Hamia SOMALIA BASI CHAP CHAP.

Mbona wewe huajhamia huko Somalia??Aliyekwambai Tanzania ni ya CCM tu nani??Cha msingi acheni chuki na visasi havijengi.Tanzania ni ya Mbowe pia.
 
Hii haitapelekea makonda kushindwa kusomewa mashitaka yanayo mkabili!
 
NADHANI AMEKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUTUMIA NA SI VINGINEVYO. BASI WASISAHAU KUMKAMATA NA MWANAMZIKI CHID BENZ.........!

Wewe ndiyo wale wale hunatofauti na Masogange
 
Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!

Hata akipanga maandamano huwa anapanga halafu anatoroka anawaachia zigo wenzie mwoga sana huyo
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana. Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi. Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa kamili itawajia hivi punde
Lizabon inaonekana Leo huko Lumumba kumechafuka ndo maana mmejazana humu ili mtafute hizo buku7. Kuna mwenzako amekuja na ya nccr wewe ya Mbowe.......Haya jitahidi kuleta ututusa wako
 
Naona sasa GESHI la Polisi limeamua kujivua nguo, wamemkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani huku wakiwa hawana sababu yeyote ya maana.
Mkuu. Ona unavyojitoa ufahamu. Umekuwa kama taahira vile! Ulisema watu wanipuuze eti habari hii si ya kweli. Nikakwambia kuwa kama taarifa hii ni uongo, nipo tayari kujivua CCM na kujiunga UKAWA. Sasa u ekuja kwa unyongeeeee! Pole sana ndugu
 
Nchi Inaongozwa Kwa Utawala Wa Sheria ?
Kukamatwa Kwa Mbowe Spika Ndugai Anajua
Ngoma Inogire

Makonda Naye Anaitwa Kwenye Mhimili Kule Akatoe Hesabu
 
Wamekosea , wangemsubiria hadi ijumaa ndo wamtie nyavuni akanyee debe hadi jumatatu
 
Back
Top Bottom