Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
- Thread starter
- #41
Hahahahahahahaaaaaaa! Anakumbuka yaliyomkuta Arusha aliposafirishwa kwa ndege kwenda Dar. Yaliyomkuta humo kwenye ndege hatakuja kusahauNashangaa kiongozi mkubwa kama Mbowe kuogopa Polisi, wanamshinda ujasiri hata akina Wema na Tid.