Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Inatakiwa tujue hatima ya mbowe haipo polisi,Bali mahakamani,labda kama kuna hakimu humu ashauri
Case ni Mahakamanis, tusubiris
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatakiwa tujue hatima ya mbowe haipo polisi,Bali mahakamani,labda kama kuna hakimu humu ashauri
hahaha my foots jeshi lenyewe lilijiharibia kwa kuwa na urafiki na majizi majambazi itachukua muda kwa watanzania kuliamini na kuliogopaLazima jeshi la polisi liogopwe kama jwtz, au umesahau maagizo ya IGP mtarajiwa?
Kwan huu mjadala unamaana yoyote??Mkuu, hoja yako inasaidia nini kwenye mjadala huu?
Hahaa si waliibomoa sasa ileWamemchukua akawaonyeshe bilicannas ilipo maana yeye ndio anaijua vizuri ndani na nje
Wathibitishe kwa nani kwako? Muhusika mbowe ndio anajua kwa undani na uthibitisho anao yeye kama yeye.Achana porojo za akina Lisu kwenye kuitwa polisitusubirie tujue alikaidije agizo la polisi, polisi watakuwa na kazi ya kuthibitisha kwamba walimuita na akakataa
Kwa hiyo alivyokamatwa hivyo ndio amepata heshima.?Aliyekwambia Mbowe aliogopa kwenda polisi nani??Amesema hivi kama Polisi inamuhitaji kusaidia vita vya madawa wamuite kwa heshima na siyo kupitia East African TV au Clouds
Kapanic hasa leo hatalalaMUSSA ALLAN kapanic
Mkuu siku hizi umepata uhakimu? Kama ndo nakubaliana na hoja yako, ila kama sio wacha kiherehere; subiri mahakama itatafsiri maana ya kukataa kuitwaWathibitishe kwa nani kwako? Muhusika mbowe ndio anajua kwa undani na uthibitisho anao yeye kama yeye.Achana porojo za akina Lisu kwenye kuitwa polisu
Sasa yuko chini ya Muhimili mwingine , huko Mahakamani watakuja kumkamata Makonda aliyeshitakiwa. Ngoja kwanza akanyee Debe Central. Kerewiii, Mangi wa watu
Duh! Nyi majamaa bhana... naona mnatekenyana wenyewe kwa wenyewe!!! halafu huo mtekenyo Lizaboni inaonekana umekuingia hadi kwenye mlango wa 6 wa fahamu!!!Hahahahahahahaaaaaaa! Sipati picha jinsi Mbowe atakavyobeba mtondoo