Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

CCM wanajua kujidanganya,

Mnasheherekea mbowe akipelekwa mahabusu Kwa hizi figisu za kisiasa ndiyo atakufa au ??
 
Hapo watamkimbiza kwa mkemia na.majibu yatakuja +ve kama watakavyo then roho zao zitakuwa kwatuu
 
Ila ni hatari waweza askari kuja na mizinga na vifaru na mabomu wakapiga ulipojificha kwa kuwa hawajui una nini huko ndani ulikojificha.Ni hatari kubwa kuliko kujisalimisha
wanaoogopa kufa ni wale wanaojipeleka wenyewe polisi!
 
Katika wale 65 ni mbowe tu alikuwa hajafika? Nchi hii sijui inaelekea wapi, dereva wetu nina hakika hana leseni tusubiri ajali Muda wowote
 
angeenda wiki iliyopita angeokoa muda. Kama mwananchi wa kwaida anachukuliwa mtaani anakwenda kuisaidia polisi Huyu kiongozi wa wananchi anashindwaje kujitolea asaidie kuwa mfano kwa maelfu ya wananchi wanaoangamia na kuteketea kwa madawa. hayo mengine ni hisia zako tu mkuu

Kwani taaluma ya polisi imebadili namna ya kufanya kazi??Kwa hiyo siku hizi JAMBAZI atatangazwa kwenye TV na REDIO ndiyo anakamatwa??Hivi huyo Mbowe alikuwa hapo polisi siku aliyotajwa kama anahusika na madawa kwanini Sirro hakumkamata??

Hivi Chuki,visasi na ubaguzi mnadhani mtautibuje ukishaota mizizi??Mnadhani vijana wa upinzani wakiamua kuwachukia kama mnavyofanya mnadhani TAIFA litakuwaje??

Kama TAIFA tulitakiwa tuadvocate AMANI,HAKI na UHURU wa kila RAIA,hili la kumpa mtu kesi ya madawa wakati unajua fika kabisa ni uongo si sahihi kabisa,tuache kufanya siasa za kishenzi na kipumbavu kama hizi.

Tanzania yetu sote,tutaijenga sisi watanzania bila kujali itikadi zetu.Mambo anayoyafanya Rais kupitia wateule wake hayafai kabisa ni kutengeneza chuki ambayo hatoweza kujakuiondoa kamwe.

Vijana wa CCM anzeni kufanya siasa safi sas wakati wa chuki umepitwa na wakati,hujui kesho yako,vyeo vinapita tu
 

Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Atawekwa ndani na kunyimwa dhamana kisha kufunguliwa kesi ya kutoitikia wito!
Awamu hii wapinzani wakae chonjo,mateso yao kwa sinzoje ni furaha
 
Lile biti la Bavicha jana halijasaidia kumkwepesha Mbowe na mkono wa Polisi
 
Hizi ni zahama zingine, msichelewe kusoma alama za barabarani, hata taifa linaloamini Demokrasia kama Marekani leo wanakamatakamata na kufukuzana kazi bila kuzingatia sheria....ukimsema kiongozi vibaya unakamatwa..msichelewa kuelewa haya mambo, Tawala za Ulimwengu huu zimeiva zimekuwa nyekunduuuuu, Jiwe limeshachongwa soon litapiga Falme zote za Dunia hii zilizojaa kiburi, Uchawi na ukandamizaji alafu watakatifu tutatwaa Ufalme. kama umenielewa sema Amen.
 
Kamanda Mbowe anapo wakimbia polisi halafu makamanda mnaambiwa muandamane
 
Back
Top Bottom