Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nani kasema atakufa? Mbona mengine mnayatengeneza wenyewe tu.CCM wanajua kujidanganya,
Mnasheherekea mbowe akipelekwa mahabusu Kwa hizi figisu za kisiasa ndiyo atakufa au ??
Kisha atapandishwa kizimbani atapata dhamana ya 20m sh. mchezo umeishaHapo watamkimbiza kwa mkemia na.majibu yatakuja +ve kama watakavyo then roho zao zitakuwa kwatuu
CCM wanajua kujidanganya,
Mnasheherekea mbowe akipelekwa mahabusu Kwa hizi figisu za kisiasa ndiyo atakufa au ??
Mbowe sio mtu wa kujificha, acha upotoshajiWe jamaa ni Nomaaaa...na huwa Hubahatishi Aiseee,tunasubiri Mkuu.
Maneno mengi, utulie tuone mwisho wake kama hana tatizo atarudi mtaani tu mkuu, mbona unaenda mbali sana mshauri kiongozi kuwa cooperative kama yeye ni innocent atabaki kuwa innocent ila hilo halithibitishi politically au emotionally bali technically and proffessionally. Ngoja tuone mwisho wake kwanza..Kwani taaluma ya polisi imebadili namna ya kufanya kazi??Kwa hiyo siku hizi JAMBAZI atatangazwa kwenye TV na REDIO ndiyo anakamatwa??Hivi huyo Mbowe alikuwa hapo polisi siku aliyotajwa kama anahusika na madawa kwanini Sirro hakumkamata??
Hivi Chuki,visasi na ubaguzi mnadhani mtautibuje ukishaota mizizi??Mnadhani vijana wa upinzani wakiamua kuwachukia kama mnavyofanya mnadhani TAIFA litakuwaje??
Kama TAIFA tulitakiwa tuadvocate AMANI,HAKI na UHURU wa kila RAIA,hili la kumpa mtu kesi ya madawa wakati unajua fika kabisa ni uongo si sahihi kabisa,tuache kufanya siasa za kishenzi na kipumbavu kama hizi.
Tanzania yetu sote,tutaijenga sisi watanzania bila kujali itikadi zetu.Mambo anayoyafanya Rais kupitia wateule wake hayafai kabisa ni kutengeneza chuki ambayo hatoweza kujakuiondoa kamwe.
Vijana wa CCM anzeni kufanya siasa safi sas wakati wa chuki umepitwa na wakati,hujui kesho yako,vyeo vinapita tu
Mwenyewe nmeshangaa aiseeMbowe sio mtu wa kujificha, acha upotoshaji
Ukimjua boss wako anataka nin raha sana!Makonda na Sirro wanalijua hilo,adui mkubwa wa serikali hii ni wapinzani!Utawala wa sheria.
Atawekwa ndani na kunyimwa dhamana kisha kufunguliwa kesi ya kutoitikia wito!
Awamu hii wapinzani wakae chonjo,mateso yao kwa sinzoje ni furaha
labda nchi ya kwenye ramaniNajaribu kuwaza siku CDM ikichukua Nchi......kwa hayo manyanyaso wanayopitia hawa watesi wao wataenda kujificha wapi?
Habari bana zikiletwa humu na Ma-Lumumba basi Chumvi kibaooooooooo mpaka wanaharibu ladha.Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia (Chumvi) na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha (Chumvi) ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Ahaa jinsi ilivyoaandikwa kishabiki inakuwa vigumu hata kuamini kama habari ni ya kweli..Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA