Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Maneno mengi, utulie tuone mwisho wake kama hana tatizo atarudi mtaani tu mkuu, mbona unaenda mbali sana mshauri kiongozi kuwa cooperative kama yeye ni innocent atabaki kuwa innocent ila hilo halithibitishi politically au emotionally bali technically and proffessionally. Ngoja tuone mwisho wake kwanza..
hii siasa usitumie hisia kufanya kazi za majaji na mkemia
hili la kumpa mtu kesi ya madawa wakati unajua fika kabisa ni uongo si sahihi kabisa
Hahahhahahah naona mnafurahia wanaCCM ila aliaye wa kwanza huwa anacheka zaidi kuliko achakae wakwanza.Kuna siku haya mtashindwa hata kuyabeba.
Muda ni dawa,ila nina uhakika haya mnayoyafanya mtakuja kuyajutia baadaye.Nina uhakika hata Sirro anafanya haya sababu anatetea kitumbua chake tu