Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Haya Lizabon. Vipi kuhusu Manji? Nini lengo la serikali dhidi yake?
Mbona wafanyabiashara wengine hawafuatiliwi?
 
Mbowe hajakamatwa ameenda mwenyewe kwa Kamanda Sirro acheni kupotosha
 
Hapa mleta mada inaelekea kafikia kilele cha furaha! Inaelekea bila ya kutokea hili yeye kwake usingizi hakupata vizuri! So what's next!!!
 
Hivi wingi wa Mandela ni nini? maana tumeshakuwa na wawili sasa hope na watatu yupo karibu.
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Sadist at work.
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe yuko njiani muda huu was 9:00 kamili akielekea kwenda kumuona Kamanda Sirro muda huu ili kujua nini anachotafutiwa,ameamua kutoka nyumbani kwake maeneo ya Kawe alikokuwa amepumzika kwa muda wote.

More updates to.come later

Na: John Mrema (CHADEMA).
 
akipimwa akakutwa anatumia madawa atolewe uenyekiti, Akiendelea maana yake ni kivutio kwa vijana wa chadema kufuata njia na taifa kuwa la wagonjwa. Haki itendeke tusijifiche kwenye huruma za wananchi
Kumpima leo na kumkuta na madawa mwilini siyo rahisi ...... yaani week mbili baada ya kuanza hii kampeni? Unless kama ni mtumiaji basi aliendelea kutumia hata baada ya kusikia akina Manji wamepimwa. Kama ni mtumiaji na hajatumia muda huu wote basi vipimo vya damu au mkojo vitakuwa negative. Vipimo vikubwa kama vya vywele ...... Mkemia Mkuu hana huo utalaam!!

All in all namuonea huruma Mkemia Mkuu kwenye hizi kesi!!
 
Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!

Ulijaribu kumpigia mara ngapi, ulienda kwake mara ngapi, office kwake je na wewe ni mkewe?
 
Mbowe angeenda kujisalimisha Arusha ili akipelekwa Kisongo akaonane na Lema
 
Ni kazi ya Jeshi la Police kukamata wahalifu na hata watuhumiwa wa uhalifu.
Kikubwa na kinacho nisikitisha kwa sasa ni wanaume wengi sana kuwa na tabia za wanawake sijui hali hii inaashiria nini katika taifa hili la viwanda. Mh. Rais anawatu kweli wanaosaidiana naye kufanikisha hili kweli??sijui!!!
 
Ha ha ha ha ha lizabon bhana
Mvua zmeanza anza shika jembe kalime
 
Back
Top Bottom