Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....Waliokua wanampa Kichwa kwenye Uzi ule wa kujisalimisha wako wapi? Eti asiende mbowe alijua vyombo vya Ulinzi na Usalama atavizidi akili?
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Mkuu serikali ni nini?Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe
Kuna siku unayofurahia leo kesho utakuja kulia ukose hata wa kukusemesha.As long as anajiamini hatumii madawa sioni shida.
mentality za kuonewa ni kwa sababu ya kukoswa kitu cha msingi cha kusimamia.
Sasa kasingiziwa kwa maelezo yako, anaogopa nini kama hana tatizo. Kama kuna hila basi si atatoka akashtaki kesi nyingine ya pili, mpinzani gani muoga hivyo mkuu. Unabii na utabiri uweke kando kwanza, ngoja tuache watu wafanye kazi zao kama hana hatia ataendelea na mambo yake... uoga ni epidemic angalia usijekuwa muhanga
Hajapelekewa wito zaidi ya vyombo vya habari kwani wao hawajui taratibu za kumuita mtu?Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Kwa nini alikataa kujisalimisha mpaka amekamatwa. Kuna jambo analohofia?
wangecheki hizi safe house za cdm labda wangemkuta ben wa saa8na hicho chanzo huwezi kukitaja?
Anyway, kukamatwa na polisi jambo la kawaida sana sasa hivi, obviously angekamatwa sooner or later
Mie kanikosha zaidi Gwajima.Yaani kajisafisha hahitaji hata kwenda mahakamani kudai kusafishwa.Hakuna tena anaemtaja GwajimaMhe. Iddi Azani mbali na tuhuma zote aaaah! Akachukua gari lake huyoo Polisi. Akajieleza akaruhusiwa. Ukijiheshimu unaheshimiwa. Ukijishusha unainuliwa.
Bungeni alipokuwa napo ni kujificha?kama ni msafi kwanini alijificha?
...Wewe Makonda kuna siku utajutia unayoyafanya.Furahia sasa hivi sababu una support ya Mkuu,kesho yako ndugu huijui?Uzuri unajua fika kabisa kwamba Mbowe hauhusiki kabisa na madawa,mnachofanya ni kutafuta njia tu ya kumnyanyasa baada ya vyote kushindwa.