Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Bavicha: Mbowe hawezi Kwenda kwanza aliyetajwa alikua Philemon

Bavicha: Jembe Mbowe hawezi Kwenda ha!ha!

Media: Mbowe amekamatwa ashikiliwa Kituo cha kati.


Bavicha: Crying again Police didn't arrest Mbowe he decided to go himself.


 
Waliokua wanampa Kichwa kwenye Uzi ule wa kujisalimisha wako wapi? Eti asiende mbowe alijua vyombo vya Ulinzi na Usalama atavizidi akili?
Mie nataka waende mahakamani tucheke kidogo na maswali yenye majibu ya sijui.

Itakuwa kama ifuatavyo;
Wakili wa Mbowe: Tunaomba ueleze mahakama elimu yako
Shahidi: Form four
Wakili wa Mbowe: Ieleze mahakama maana ya madawa ya kulevya
Shahidi: Sijui
Wakili wa Mbowe: Ulijuaje kuwa Mbowe anaweza kuwa anahusika na madawa ya kulevya
Shahidi: Nilipigiwa simu toka juu nikaambiwa anahusika na madawa ya kulevya hivyo nimkamate
Wakili wa Mbowe: Ulitumia njia gani kujiridhisha kuwa anahusika na madawa ya kulevya
Shahidi: Sijui
Wakili wa Mbowe: Kazi ya upelelezi ulisomea wapi
Shahidi: Sijui......
 
Madawa ya kulevya ni janga la kitaifa. Kwa hilo tunaipongeza serikali kukamata watu wote wenye kuhusika na mihadarati
 
Kwa sababu kaguswa mungu mtu Mbowe....
 
Serikali ya CCM kama ingekuwa inashughulikia mambo ya msingi kama inavyoshughulikia wapinzani Siku nyingi tungeshakuwa na Tanzania ya viwanda!
 
Lizaboni,
Leo ni siku gani?
Mbowe alipewa siku ngapi asiporipoti akamatwe?
Unauhakika kuwa taratibu zilikuwa bado hazijafuatwa?
Je,nikisema kuwa taratibu za kumuita polisi zimefuatwa na Mbowe kaamua kwenda utanibishia?
Sina swali zaidi.
 
Siamini kama huyu jamaa alikuwa anajificha kama inavyosemwa.Katikati ya wiki iliyopita nilimuona pale wanapaita Nyuma ya ubalozi wa UFaransa akila chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…