Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaJamaa wamevuruga ni hamna kila kiongozi anatoa tamko lake, sijui wakikubali kuwa amekamatwa watapungukiwa nini.!
![]()
Mie nataka waende mahakamani tucheke kidogo na maswali yenye majibu ya sijui.Waliokua wanampa Kichwa kwenye Uzi ule wa kujisalimisha wako wapi? Eti asiende mbowe alijua vyombo vya Ulinzi na Usalama atavizidi akili?
Mabadiliko siyo kuzungusha mikono kwa nguvu ya viroba!!
King of Meme!Hahahahahaaaaaaaa! Kuna muda maalum wa tangazo kuwa Breaking News. Ikipita saa moja si Breaking News tena.
Madawa ya kulevya ni janga la kitaifa. Kwa hilo tunaipongeza serikali kukamata watu wote wenye kuhusika na mihadaratiHizi jitihada zingetumika kuwakamata wezi wa pesa za escrow,lugumi etc nchi ingekua mbali kimaendeleo.
Sijui ni kwanini nguvu nyingi ya dola inatumika kwenye mambo yasiyokua na msingi badala ya real issues
Hapa ndo naamini wale waliosema hii vita ni visasi vya kisiasa
Kwa sababu kaguswa mungu mtu Mbowe....Kwa ufahamu wako Wema na TID unafikiri walikuwa wanatafutwa kweli? Hiyo ilikuwa ni gia ya kuwaingilia watu, sasa wameshalianzisha na kina wema na TID kwasasa wapo uraiani ila waliokuwa wanatafutwa tunawaona kila siku Mara hospital au mahakamani.
Ila nawaambieni hii sumu inayomwagwa hapa Tanzania siku sio nyingi itaonyesha kile wanachokitaka kitokee.
Tanzania sio mbingu wala peponi ila ni nchi kama zilivyo Congo na Burundi.
Tujiulize kwanini mpaka Leo tuna amani na kwanini wale kila siku wanapigana.
Viongozi waombe Hekima na Busara katika kulitumikia Taifa letu.
Pasi na kuwa na shaka yoyoteUna uhakika kuwa zito alikuwa nje
Amekamatwa? amwekwenda mwenyewe?
Usipoteze mda wako Mkuu kwa haya mapapai mwitu wazee wa kubadilisha gia angani ni wanafiki hatari kuanzia huyo M/Kiti hadi katibu kata.Amefika na nani!!?
walisema hatakwenda
Media zipi Mkuu?
Mungu mtu yuko magogoni, anaelekeza miradi mbali mbali huko Chato.Kwa sababu kaguswa mungu mtu Mbowe....
Lizaboni,Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA