Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Ahsante serikali.
 
Hizi jitihada zingetumika kuwakamata wezi wa pesa za escrow,lugumi etc nchi ingekua mbali kimaendeleo.
Sijui ni kwanini nguvu nyingi ya dola inatumika kwenye mambo yasiyokua na msingi badala ya real issues
Hapa ndo naamini wale waliosema hii vita ni visasi vya kisiasa
 
Vipi hao polisi watamchukulia lini hatua yule aliyeuza nyumba za serikali alipikuwa waziri?

Kila mkakati manoanzisha mnaishia kukwama hata huu nao tayari mshatumbukia


 
Hawezi kujimaliza kisiasa kwani Mandela alimalizika au aliimarika?
 
Kaka mkubwa amepatikana chimbo gani? Maana nasikia alikuwa invisible
 

Hao ni wanaCCM hawawezi kuguswa,hapo issue ilikuwa kumnyanyasa Mbowe hakuna kingine.Kisa ni kesi ya kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…