Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Meanwhile kule kwa mkeemia mkuu mkojo wa chid benzi umewasili kwenye land cruiser nyeupe yenye vioo vyeusi tii tayari kwa kutumika kama sample ya bwana Mbowe...
Nafikiria kwa sauti tu!

Mbowe akikutwa negative mnikumbushe ninye hapa mpaka Hai.
Unless mkeemia awe Gwajima.!
 
This could have been one of break point to rally.
 
Siyo mara ya kwanza F.Mbowe kukamatwa na polisi na kutangazwa sana. Alishawahi kukamatwa DSM na kupelekwa KIA kwa ndege maalum kwa ajili yake (kukodi/jeshi??), then Arusha-ulinzi mkali. Sijui ile sakata iliishia wapi.
 
jionee huruma ww unayesubiri kulipwa posho kutokana na kazi unayoifany jamii forum
 
Lizabon umesema Mbowe kakamatwa na wakati Taarifa zinaonyesha kaitikia wito. Sasa emu thibitisha kauli yako
 
Tunajua mmefurahi sana ,mshikilieni mpaka mtakapo ridhisha nafsi zetu.Mkitaka kumuua muueni tu labda Maisha yenu yatakuwa na furaha zaidi..
Ni upinzani tu ndo huomba dua za mtawala kutekeza. Mwenye akili timamu, mstaarabu, mtu makini hawezi kudharau mwito, hata kama anayekuita ni mtu mdogo.

Mh Mbowe, kwa heshima aliyojijengea katika Taifa hili, kwa kauli zake za kila siku kushutumu Serikali ati inatawala kinyume na Katiba na sheria za nchi, alipaswa kuonesha kwa vitendo "utii wa sheria bila shurti".

Kwa kitendo chake cha kukaidi wito wa mmalaka zilizopo Kikatiba, hastahili kuwa kiongozi katikangazi yoyote ya utawala wa nchi hii.

Pamoja na hilo aliloitiwa akakaidi, afunguliwe shitaka la kuzuia Polisi kutimiza wajibu wake.

Enyi viongozi wa kisiasa 'uchwara' si Watanzania wote wabafurahia vitendo vyenu. Muishi kama mnavyohubiri mema na kutoa matumaini kwa WaTZ, kwenye majukwaa.
 
Kama ya uongo, wanakata rufaa nadhani wanaweza kutafuta utaratibu akaenda kupimwa hata kama ni kwa TRUMP
Wanaonea sana sasa hivi mpaka hata mjinga unaona ipo siku yataisha tu kila jaribu lina mlango wakutokea, na MUNGU anakupa jaribu unaloliweza
 
Umewaza kwa sauti,ila umeongea kimya kimya! Hilo lipo!!
 
Tulieni mnyooshwe...mpaka mtii sheria

Sio kila Sheria ina manufaa ,nyingine zilitungwa kwa na wachache kwa faida ya wachache na kutumika kwa maslahi ya wachache..

Mvunja Sheria namba moja Nchi hii anajulikana ...
 
Kaenda mwenyew huyu lizaboni ni mpuuzi na anauchafua mtandao wetu pendwa wa jamii forum nimekuta mtu Instagram analalamika kuwa jamii forum tumeupotosha uma kumbe ni mpuuzi mmoja tu
 
Ni utamaduni mbovu sana unaotaka kuimarika hapa Tz. Mnara wa Babeli ulianguka kwa vile walijiona wameshajua kila kitu. Wakajshangilia, Wakaacha hata taratibu za ujenzi ili tu wamfikie Yehova.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…