zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwanni huo ushauri usimpe mwenyekiti wa ccm anayevunja sheria kila siku na kusigina katiba wakati aliapa kuilinda na kuisimamia........Tulieni mnyooshwe...mpaka mtii sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanni huo ushauri usimpe mwenyekiti wa ccm anayevunja sheria kila siku na kusigina katiba wakati aliapa kuilinda na kuisimamia........Tulieni mnyooshwe...mpaka mtii sheria
Duh huyu mbowe kakamatwa kama saddam alikua amejificha shimoni .
Mtashindwa vibaya sana , mipango yote michafu mliyopanga imeanikwa na wazalendo .Tulieni mnyooshwe...mpaka mtii sheria
jionee huruma ww unayesubiri kulipwa posho kutokana na kazi unayoifany jamii forumNalionea huruma taifa langu kwanza na aina ya watu waliomo ndani yake ambao hawana faida zaid ya hasara .hasa wanaume wa aina yako aisee ptuuu!! Mwanaume kuwa mbeambea na ushadadiaji mambo kwakweli sijui imekaaje hii! NAIONEA HURUMA NCHI YANGU TANZANIA.
Kama gari lake limeondoka na yeye kabaki, maana yake hakupelekwa na Defender. Kaenda mwenyewe, hakukamatwa.Tumeonyeshwa gari lake likiondoka na yeye kabaki. Akili kichwani...
Ni upinzani tu ndo huomba dua za mtawala kutekeza. Mwenye akili timamu, mstaarabu, mtu makini hawezi kudharau mwito, hata kama anayekuita ni mtu mdogo.Tunajua mmefurahi sana ,mshikilieni mpaka mtakapo ridhisha nafsi zetu.Mkitaka kumuua muueni tu labda Maisha yenu yatakuwa na furaha zaidi..
Usitoe povu la ufipani!!!Unamjua anayeuza madawa?? Yule Prince wenu aliyefanya tukauza Bagamoyo vipi ameshakamatwa??
Hii nchi laana imeshaingia,mungu shusha garika LA Catrina bahari ihamishe lile jumba LA sisonje na sisonje azame na maji pamoja na mropokaji wakeMatumizi mabaya ya rasilimali,upuuzi tu!
Wanaonea sana sasa hivi mpaka hata mjinga unaona ipo siku yataisha tu kila jaribu lina mlango wakutokea, na MUNGU anakupa jaribu unaloliwezaKama ya uongo, wanakata rufaa nadhani wanaweza kutafuta utaratibu akaenda kupimwa hata kama ni kwa TRUMP
Umewaza kwa sauti,ila umeongea kimya kimya! Hilo lipo!!Meanwhile kule kwa mkeemia mkuu mkojo wa chid benzi umewasili kwenye land cruiser nyeupe yenye vioo vyeusi tii tayari kwa kutumika kama sample ya bwana Mbowe...
Nafikiria kwa sauti tu!
Mbowe akikutwa negative mnikumbushe ninye hapa mpaka Hai.
Unless mkeemia awe Gwajima.!
Tulieni mnyooshwe...mpaka mtii sheria
Vyenye ushahidi hawaongei kwa kuwa yanawahusuUsitoe povu la ufipani!!!
Time will tell!!
Mtajua mbivu na mbichi!
AllepoNajaribu kuwaza siku CDM ikichukua Nchi......kwa hayo manyanyaso wanayopitia hawa watesi wao wataenda kujificha wapi?
Ni utamaduni mbovu sana unaotaka kuimarika hapa Tz. Mnara wa Babeli ulianguka kwa vile walijiona wameshajua kila kitu. Wakajshangilia, Wakaacha hata taratibu za ujenzi ili tu wamfikie Yehova.Hivi mahakama ikimkuta hana hatia wale tunaotoa maneno ya kukashifu tutaficha wapi sura zetu?
Tusipende kuishi kwa dhana ni dhambi mbaya sana. Tuwe tunatoa maoni yetu kwa kuzingatia taaluma na pia kujua kuna kesho pia. Mimi nilishalazwa central hapo bila hatia lakini watu walinisingizia kuwa nimeiba mali za ofisi Mungu tumwache aitwe MUNGU nikatoka wale waliokuwa wanashangilia mimi kuaibika wakaaibika wao, wakakimbizana kwenda kufuta kesi na leo hii baada ya miaka kumi(10) roho zao bado zinawasuta wakiniona - maana wao ndo walikuwa wezi.
MWENYE HILA MWISHO WAKE AIBU.
tafakuri......