Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Usiandike kwa kutanguliza hisia ,mswali niliyo yauliza hapo juu haujajibu hata moja.

Mnapokiuka Utartibu tulio jiwekea kama Nchi hasa huu wa kugawa haki kwa kila Raia ,hizo ni virugu..Acheni vurugu ..
Alichokifanya Mh huyo ni ukaidi na ubabe wa kijinga. Angeonesha mfano, maswali yako yangekuwa na mantiki.

Ila sikushangai kwani ukinyonga ndiyo jadi yenu. Mnaishi kwa maneno ya kuungaunga, hamna njisi halisi ya kutekeleza mnayo yahubiri. Mnajua kushutumu, kulalama na kulialia tu.
 

Tunataka viongozi wenye maadili katika jamii. Sio unabugia unga, unaiba au hulipi kodi halafu unatamba mtaani kuwa wewe ni kiongozi wa watu.

Kama ana makosa na ashughulikiwe kama wengine. Sheria za nchi zipo. Hatuwez kuishi bila kufuata sheria. Watu wasio ishi bila kufuata sheria na taratibu zilizopo ni watu wa ovyo kabisa. Hatutaki watu kama hao.
 
Wewe ni mnafiki mkubwa!
 
Kama kiongozi mkubwa kama mbowe haitikii wito wa vyombo vya usalama vya nchi akina sie tufanyeje.? Kwa hilo mbowe ni mfano mbaya katika jamii
 
Sakata la kumkamata Mboe limekosewa sana kimkakati, ingetosha kupeleleza kujua yupo wapi na hati ya mashtaka iandaliwe haraka kisha mahakama ikae sawa. wakamatwe mateja kama saba halafu wasimamishwe nae pamoja kwenye kesi ya kutumia dawa za kulevya kisha bwana mkubwa awe katikati ili picha za magazeti zitoke vizuri na kumbukumbu iwekwe kwa marejeo baadae (siku za usoni)
sasa kitendo cha kumkamata jioni kitamuongezea nguvu, na huwenda kikaonekana cha kisiasa zaidi kuliko matarajio yaliyokusudiwa.
hapa AKILI KUBWA haikutumika.
MUNGU WA DAR KACHEZEWA.
 
Acha propaganda za kitoto mbowe hajakamatwa kaenda kuripoti yy mwenyewe.na ukumbuke hakukataa kwenda polisi bali aliukataa with wa mkuu wa mkoa.
 
Kumekucha, hivi logic ya kumshikilia mtu masiku mengi huwa ni ipi? Na ile sheria ya masaa 24 huwa kuna namna polisi wana-bypass? Naomba kujuzwa kwa ufahamu wangu maana mtu kama Manji ameshindwa, sie makapuku tusio na wanasheria najiwazia!


Kama anabwia zinahitajika 48 hours kuwa AROSTO.......hapo atahangaika kama kuku..
 

Huto..... mpaka hai. Mimi naamini anabwia. Kama alikuwa habwii nini kilikuwa kinamuogopesha? Mimi sipati picha mtu kuogopa kwenda kituo cha polisi. Sielewi kabisa jaman. Hasa kwa nchi kama yetu na hadhi ya mtu kama mbowe.
 
Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe

Baki huko huko na mashetani wenzio mpaka siku baba yako ibilisi atakapokutoa roho kukupeleka kwenu kuzimu.
 
Sio kila Sheria ina manufaa ,nyingine zilitungwa kwa na wachache kwa faida ya wachache na kutumika kwa maslahi ya wachache..

Mvunja Sheria namba moja Nchi hii anajulikana ...
Kama ilivyo katiba ya Sacco's ya ufipa... Ni kwa faida ya DJ ambaye leo hii yuko Central
 
Sema Habari imeandikwa kishabiki/ kisiasa zaidi. Kama vile unafurahia..vile.. we kweli Kada. Wacha tuone kutakavyoenda..
 
Huyu mtoa mada ana mning'inio wa viroba? Mbowe ameitikia wito hajakamatwa
 
upande huo wa pili nani ni msafi ?
 
Kwanni huo ushauri usimpe mwenyekiti wa ccm anayevunja sheria kila siku na kusigina katiba wakati aliapa kuilinda na kuisimamia........
Katiba ya tanzania haijavunjwa...ila Kuna katiba ya Sacco's ya Ufipa imevurugwa kumpa ufalme DJ
 
Huto..... mpaka hai. Mimi naamini anabwia. Kama alikuwa habwii nini kilikuwa kinamuogopesha? Mimi sipati picha mtu kuogopa kwenda kituo cha polisi. Sielewi kabisa jaman. Hasa kwa nchi kama yetu na hadhi ya mtu kama mbowe.

Nchi zenye serkali za kikabulu haziaminiki hata kidogo.
By the way usijitoe akili Mbowe alishagawaelekeza mufuate sheria halali za nchi atatoa ushirikiano mnaoutaka kwake. Nyie mnalazimisha kufanya mamba kama intarahamwe alafu mnaanza kuzusha ujinga hapa sijui mnamfurahisha nani kama siyo mazuzu nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…