Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA

Wewe jamaa ni mbea mbaya! Mbowe amejisalimisha mwenyewe polisi hajakamatwa, mijitu miongo kama mleta mada lazima huwa ina matatizo ya kisaikolojia
 
Alichokifanya Mh huyo ni ukaidi na ubabe wa kijinga. Angeonesha mfano, maswali yako yangekuwa na mantiki.

Ila sikushangai kwani ukinyonga ndiyo jadi yenu. Mnaishi kwa maneno ya kuungaunga, hamna njisi halisi ya kutekeleza mnayo yahubiri. Mnajua kushutumu, kulalama na kulialia tu.

Umeshindwa kujibu hoja yangu ya Msingi na umeamua kugeukia mipasho,basi sawa..
 
Shida nini?? Si angeenda tu tangia mwanzo? Mtu mkubwa kama hivo katika jamii anaogopa polisi? What a shame!
Hivi unaongea una akili timamu, Mbowe anaogopa polisi au anataka sheria na taratibu zifuatwe?
 
Mi najiuliza Mbowe kama hausiki kwa nn anajificha au anaogopa dhambi zake zisisemwe hadharani
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA

Mbowe ni mtoto wa mjini,naweza pia kumuita "mission town" kwa lugha ya mjini.Upo uwezekano kwamba ame-escape vices za mjini kama uuzaji na matumizi ya madawa ya kulevya,tena akiwa eneo la "dhambi" kama Bibilicanas?It is highly unlikely.I have always been suspicious of him.
 
Katiba ya tanzania haijavunjwa...ila Kuna katiba ya Sacco's ya Ufipa imevurugwa kumpa ufalme DJ
Nipe kifungu hiko unachodai kilichovunjwa ili mbowe aongezewe muda kuwa mwenyekiti kinyume na taratibu??
 
Uzalendo au ushabiki? Una uzalendo gani zaidi ya uombaomba na kupiga mizinga pale Lumumba? Mtasifia sana kila upuuzi but the day shall come! Yes, ukiona Giza totoro ujue kupambazuka kunakaribia na siku mpya kuanza.
Mbona kulishapambazuka? Siku mpya ilianza pale Magufuli aliposhinda na baadaye kuapishwa...
 
Nipe kifungu cha katiba ya Tanzania kilichovunjwa
Kasome sheria ya vyama vya siasa ukiikosa ntakuletea hapa...... sehemu ya pili inatamka kuwa ni haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano na maandamano kwa uhuru bila kuingiliwa..... sasa kwa huyo mwenyekiti wenu kuzuia mikutano eti mpaka 2020 hajavunja sheria ya vyama vya siasa???

Tuanze na hiyo sheria kwanza.... mpaka tutaelewana tu
 
Hizi jitihada zingetumika kuwakamata wezi wa pesa za escrow,lugumi etc nchi ingekua mbali kimaendeleo.
Sijui ni kwanini nguvu nyingi ya dola inatumika kwenye mambo yasiyokua na msingi badala ya real issues
Hapa ndo naamini wale waliosema hii vita ni visasi vya kisiasa
Inawezekana kabisa wewe ni mgonjwa au Mbowe alikupa poda nyingi
 
Asanteni sana police kwa kumkamata huyo muuza unga na mtumiaji unga. Kesho apelekwe kwa mkemia mkuu wapime damu ya moyoni kabisa.
 
Updates : kukamatwa kwa Mhe.Freeman Mbowe

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe.Edward Lowassa amekatisha mapumziko yake Kijijini Monduli na kurudi DSM kwa lengo la kumuwezesha kufuatilia kwa karibu suala la Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe.

Lowassa alikuwa Monduli katika mapumziko mafupi. Anatarajia Kuwasili kesho jumanne asubuhi.
Lowasa anachekesha sana hivi Sioi alishatoka gerezani,nauliza tu maana sisikii tena habari zao
 
Hahahahahaha ule mtandao wa madawa ya kulevya hauwezi isha comishna kashasema gwajima ndo ivyo mmeangaikaa nae kaja kuwaumbua nyinyi.... Hiii ser**** haina kitu
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
kakamatwa ameshushwa kwenye gar yake amepakizwa gar ya polis amepelekwa kuhojiwa baada ya mahojiano amerudishwa nyumban kwake na gar ya police
 
Back
Top Bottom